Naomba kujuzwa simu nzuri za kiswaswadu

Naomba kujuzwa simu nzuri za kiswaswadu

Tafuta vya tecno tu, hapo huwezi mkimbia mkuu, kama mfuko umevimba tafuta nokia original nafkiri ni 50K.
 
Tafuta TECNO 402 au TECNO 375.
Napendekeza uchukue 402 kwa sababu kwenye USSD haina ule usumbufu wa kubonyeza # ili kuswitch kwenda kwenye namba.

375 ina kausumbufu fulani kwenye USSD mfano ukiingia menu ya MPESA kila ukibonyeza namba ukipiga ok, inaandika done, so inakulazimu ubonyeze tena ok ili ku-send. Inakuchelewesha.

Mimi ninazo zote za laini 3 TECNO 402 na TECNO 375, Bei zake ni 40,000. Uzuri wa hivi visimu ni vidogo sio makubwa sana.

Kwako Mundele Makusu
 
Asante SANA mtaalamu huu ujumbe umenikosha Sana maana umenijibu vizuri na kunipa option nzuri ya kiswaswadu cha laini tatu
 
Pamoja mkuu. Pia 375 ina ki-messaging chat kinaiwa letschat kinawaunganisha wajuba wote mnaotumia simu za aina hiyo na kuna magroup kabisa ya michezo, mapenzi, habari nk. Hata bibi unaweza kupata huko. sikipendi.
 
Wakuu humu ndani kwema.

Naomba kuuliza kwa yeyote ambaye anafahamu simu nzuri ya kiswaswadu yenye uwezo wa kukaa laini tatu.
IMG-20241201-WA0018.jpg
 
Tafuta TECNO 402 au TECNO 375.
Napendekeza uchukue 402 kwa sababu kwenye USSD haina ule usumbufu wa kubonyeza # ili kuswitch kwenda kwenye namba.

375 ina kausumbufu fulani kwenye USSD mfano ukiingia menu ya MPESA kila ukibonyeza namba ukipiga ok, inaandika done, so inakulazimu ubonyeze tena ok ili ku-send. Inakuchelewesha.

Mimi ninazo zote za laini 3 TECNO 402 na TECNO 375, Bei zake ni 40,000. Uzuri wa hivi visimu ni vidogo sio makubwa sana.

Kwako Mundele Makusu
IMG-20241201-WA0020.jpg
 
Back
Top Bottom