Naomba kujuzwa Solar bora kwa ajili ya matumizi ya nyumbani

Naomba kujuzwa Solar bora kwa ajili ya matumizi ya nyumbani

Bushmaster

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2022
Posts
583
Reaction score
1,265
Kutokana changamoto ya umeme kwa sasa, tujuzane solar bora kwa ajili ya matumizi ya nyumbani ambayo inaweza kuwasha taa, friji na TV.

Kwa hali ya sasa inatisha, umeme unakatika kuanzia asbh saa 12 unarudi saa 2 usiku, wiki nzima.
 
Back
Top Bottom