Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 583
- 1,265
Betri iwe ni ngap nataka kutengeneza backup systemNunua poly-Cristal 200W kutoka Sundar, yaani bebanisha panel mbili kila moja iwe na 100W. Tafuta inveta ya wati 600. Kula maisha
Polycrystalline panels sio nzuri hasa kipindi Cha mvua na mawingu, anunue Monocrystalline panels ataenjoy saana! Kampuni yoyote tu ila iwe monoNunua poly-Cristal 200W kutoka Sundar, yaani bebanisha panel mbili kila moja iwe na 100W. Tafuta inveta ya wati 600. Kula maisha
ata 120Betri iwe N ngap nataka kutengeneza backup system
Sawa mkuu ila mimi nina poly na ipo vizuri majira yotePolycrystalline panels sio nzuri hasa kipindi Cha mvua na mawingu, anunue Monocrystalline panels ataenjoy saana! Kampuni yoyote tu ila iwe mono
naomba pia na gharama zakeKwa fridge pannel itabidi iwe kubwa Watt 200 +, upo wapi ndugu mteja fundi nipo hapa
Gharama za vifaa andaa budget ya 700,000naomba pia na gharama zake
Betri si litakuwa kunakuwa Sana umemeHakuna haja ya solar, nunua betri na inverter tu ule maisha, umeme ukiwepo betri inajichaji.
Angalizo: Nunua betri mpya, wauzaji wengi wahuni wanaweza kukupa used.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana,kesho naenda kufunga nitaleta picha nikifanikiwaGharama za vifaa andaa budget ya 700,000
Nitajuaje kama ni monocrystallin na ile ni polycrystallin panel?Polycrystalline panels sio nzuri hasa kipindi Cha mvua na mawingu, anunue Monocrystalline panels ataenjoy saana! Kampuni yoyote tu ila iwe mono
Kuna elimu yenye tija hapa kuliko kuendelea kuwalalamika wasiojali bora uanze kutafuta suluhisho at individual level.🙏Naweka kambi hapa
Hamna kawaida kabisaBetri si litakuwa kunakuwa Sana umeme
MakeleleJe, generator