Naomba kujuzwa sumu kali ya kuulia mbwa koko wanaozurura ovyo

Naomba kujuzwa sumu kali ya kuulia mbwa koko wanaozurura ovyo

General Nguli

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2022
Posts
1,190
Reaction score
2,508
Wakuu wangu nashida na sumu kali ya kuulia mbwa koko wanao zurura hovyo.

Wamenilitea madhara ya kula kuku na mayai pindi nikichelewa kufunga banda la kuku.

Na hata wamejeruhi watu kadhaa mtaani kwangu na mmoja kupelekea kifo.Wamekuwa tishio baada mbwao hao kutopatiwa chanjo na hata hawajulikani mwenyewe ni nani.

Nawasilisha kwa majibu asanteni.
 
Ngoja wakusikie watetezi wa haki za wanyama
 
Ni maeneo gani mbwa hao wanapatikana nije niwachukue. Mbwa ni Mali usijaribu kuwaua
 
Utashangaa hiyo sumu itaua Mbwa pamoja na Kuku wenu,

Nimekaa paleeeeeeeee
 
Nimeweka kambi hapa, kuna paka ameshakula zaidi ya vifaranga 10 wa kuku wangu, huenda na mimi nikapata suluhisho hapa
 
Kabisa kaka
Hizi sumu tulizo zizoea madukani na wanao zitembeza hazina nguvu yoyote.
 
Wakuu wangu nashida na sumu kali ya kuulia mbwa koko wanao zurura hovyo.

Wamenilitea madhara ya kula kuku na mayai pindi nikichelewa kufunga banda la kuku.

Na hata wamejeruhi watu kadhaa mtaani kwangu na mmoja kupelekea kifo.Wamekuwa tishio baada mbwao hao kutopatiwa chanjo na hata hawajulikani mwenyewe ni nani.

Nawasilisha kwa majibu asanteni.
Pole sana kwa hiyo shida ningekushauri uende ktk ofisi ya wilaya kuna kitengo cha wanyama watakusaidia kuweza kuwakamata hao Mbwa au kuwashugulikia ipasavyo, usiwaue tafadhali.
 
Usifanye Hilo kwa pupa mkuu, hata serikali inakuaga na oparesheni ya kimya kimya ya kuwaua Hawa mbwa Koko, ila inatumia wataalamu! Wanakuja na sumu wanaweka kwenye vyakula Kisha wanaweka specific areas walipo Hawa mbwa! Na wao wanakaa hapo hapo kumonitor kinachoendelea!

Ikitokea wakala wakafa wanawabeba kwenda kuwazika, na ikitokea kikabaki chakula chenye sumu wanakichukua kukitoa pale kisilete madhara kwa viumbe ambavyo havijakusudiwa

Sasa usije weka sumu kwenye vyakula ukashangaa mifugo ya watu wengine ndo ikala utaingia matatizo makubwa sana,au hao hao kuku wako wakaonja ndo wakafa

Kama tatizo ni kubwa nenda ofisi za serikali ya mtaa watakushauri zaidi, all in all kua makini

Alafu kwanini uue mbwa jamaa?
 
Wakuu wangu nashida na sumu kali ya kuulia mbwa koko wanao zurura hovyo.

Wamenilitea madhara ya kula kuku na mayai pindi nikichelewa kufunga banda la kuku.

Na hata wamejeruhi watu kadhaa mtaani kwangu na mmoja kupelekea kifo.Wamekuwa tishio baada mbwao hao kutopatiwa chanjo na hata hawajulikani mwenyewe ni nani.

Nawasilisha kwa majibu asanteni.
Nenda kurasini kuna wale jamaa wenye macho naniliu, wanamaliza tatizo kimyaa kimyaa, wala hata sauti yao hutasikia wanaposhughulikiwa. Temeke Wailes miaka ile walisafisha kabisa.
 
Back
Top Bottom