Usifanye Hilo kwa pupa mkuu, hata serikali inakuaga na oparesheni ya kimya kimya ya kuwaua Hawa mbwa Koko, ila inatumia wataalamu! Wanakuja na sumu wanaweka kwenye vyakula Kisha wanaweka specific areas walipo Hawa mbwa! Na wao wanakaa hapo hapo kumonitor kinachoendelea!
Ikitokea wakala wakafa wanawabeba kwenda kuwazika, na ikitokea kikabaki chakula chenye sumu wanakichukua kukitoa pale kisilete madhara kwa viumbe ambavyo havijakusudiwa
Sasa usije weka sumu kwenye vyakula ukashangaa mifugo ya watu wengine ndo ikala utaingia matatizo makubwa sana,au hao hao kuku wako wakaonja ndo wakafa
Kama tatizo ni kubwa nenda ofisi za serikali ya mtaa watakushauri zaidi, all in all kua makini
Alafu kwanini uue mbwa jamaa?