Naomba kujuzwa tafadhali.

Naomba kujuzwa tafadhali.

BRO LEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2011
Posts
830
Reaction score
603
Naomba kufahamu status ya shahada ya sheria ktk chuo kikuu kishiriki cha Tumaini Campus ya DSM, kuna ndg yangu amepata nafasi hapo,. Je kwa ujumla ni vyuo gani ambavyo vinatoa shahada ya sheria ambayo ukiwa sokoni huulizwa maswali mara mbili mbili ili kujua km umeiva?.

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom