Kwetusongea
Senior Member
- Nov 30, 2014
- 110
- 41
Kwanni mbezi mwisho?Naplan kufanya biashara maeneo ya Mbezi Mwisho.
Anaejua utaratibu wa kupata eneo kwaajili ya kuweka meza ya biashara hapo Mbezi naomba anielekeze.
Mkuu biashara gani unataka kuweka?M naishi kibamba sitaki kwenda mbali sana kwaajili ya kusave gharama za nauli au hata kuna sehem nyingine iyochangamka unaweza npa idea.
Nenda huko mbezi mwisho kafanye research yako utapata kwa kuanziaM naishi kibamba sitaki kwenda mbali sana kwaajili ya kusave gharama za nauli au hata kuna sehem nyingine iyochangamka unaweza npa idea.
Naplan kuweka viatu vya wadada au urembo wa kina dada kama heren ,Chen nk.Mkuu biashara gani unataka kuweka?
SawasawaNenda huko mbezi mwisho kafanye research yako utapata kwa kuanzia
Biashara nzuri sana mkuu,nafikiri pale utaratibu ukifika watakueleza, ingekuwa kariakoo ningekueleza.Naplan kuweka tamaa viatu vya wadada au urembo wa kina dada kama heren ,Chen nk.
Kariakoo utaratibu upoje maana kule kwa wingi wa watu mzunguko wa biashara upo.Biashara nzuri sana mkuu,nafikiri pale utaratibu ukifika watakueleza, ingekuwa kariakoo ningekueleza.
Sema tu umesema unataka sehemu ya karibu ila kariakoo biashara nzuri mkuu.Kariakoo utaratibu upoje maana kule kwa wingi wa watu mzunguko wa biashara upo.
Nakuchek dm nduguSema tu umesema unataka sehemu ya karibu ila kariakoo biashara nzuri mkuu.
Pale unalipia meza kwa wenye maeneo yao ila kupitia dalali. Unataka mtaa gani?
Maana kila mtaa una bei yake? Kwenye vile vimeza?
Kko meza zinaanzia sh ngapi?Sema tu umesema unataka sehemu ya karibu ila kariakoo biashara nzuri mkuu.
Pale unalipia meza kwa wenye maeneo yao ila kupitia dalali. Unataka mtaa gani?
Maana kila mtaa una bei yake? Kwenye vile vimeza?
Kko meza zinaanzia sh ngapi?Sema tu umesema unataka sehemu ya karibu ila kariakoo biashara nzuri mkuu.
Pale unalipia meza kwa wenye maeneo yao ila kupitia dalali. Unataka mtaa gani?
Maana kila mtaa una bei yake? Kwenye vile vimeza?
Kuanzia 100k mkuu mpaka za laki3 zipoKko meza zinaanzia sh ngapi?
Nenda mbez mtafte jamaa anaitwa Rasi..ndo gwiji wa pale..akupe maelekezo ila ana utapel akikuona boya..anakupa sehem ambayo keshampa mwingne...kua nae makin..ila nafasi hakuna pale..eneo la tanroads lote lile..ila watu wanaweka kibabe..siku kikinuka unaanua chako unasema kimya kimya bila malalamishi..Naplan kufanya biashara maeneo ya Mbezi Mwisho.
Anaejua utaratibu wa kupata eneo kwaajili ya kuweka meza ya biashara hapo Mbezi naomba anielekeze.
Ok poa nashukurNenda mbez mtafte jamaa anaitwa Rasi..ndo gwiji wa pale..akupe maelekezo ila ana utapel akikuona boya..anakupa sehem ambayo keshampa mwingne...kua nae makin..ila nafasi hakuna pale..eneo la tanroads lote lile..ila watu wanaweka kibabe..siku kikinuka unaanua chako unasema kimya kimya bila malalamishi..
Enzi hzo niko bongo nilikua na vibanda hapo kama vitatu..salon ya kiume..banda la vipodoz na lingne nilipangisha mtu..ila mama alivyoingia madarakan na ile safisha jij na toa mabanda mjin ndo ikanikumba..ila nilikua taita hapo mbezi..so mwone rasi atakupa maelekezo mji unaendaje maana siko bongo mwaka wa 3 huu