#COVID19 Naomba kujuzwa taratibu za kufuata ili kuchanja Covid-19 Tanzania

#COVID19 Naomba kujuzwa taratibu za kufuata ili kuchanja Covid-19 Tanzania

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
567
Reaction score
400
Naomba maelekezo ndugu zanguni jinsi ili niweze kujua jinsi ya kuweka booking kwa ajili ya kuchanja.

Natarajia kwenda kuchanja wiki hii katika hospitali ya kairuki
 
Imagine kwenye uzi wa maana na sensitive kama huu watu wako kimya utafikiri kuwa Corona siyo ishu!Mtu mweusi ni Kima aliechangamka,you better believe!
 
Back
Top Bottom