kaburu mdogo JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 567 Reaction score 400 Aug 2, 2021 #1 Naomba maelekezo ndugu zanguni jinsi ili niweze kujua jinsi ya kuweka booking kwa ajili ya kuchanja. Natarajia kwenda kuchanja wiki hii katika hospitali ya kairuki
Naomba maelekezo ndugu zanguni jinsi ili niweze kujua jinsi ya kuweka booking kwa ajili ya kuchanja. Natarajia kwenda kuchanja wiki hii katika hospitali ya kairuki
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Aug 2, 2021 #2 Imagine kwenye uzi wa maana na sensitive kama huu watu wako kimya utafikiri kuwa Corona siyo ishu!Mtu mweusi ni Kima aliechangamka,you better believe!
Imagine kwenye uzi wa maana na sensitive kama huu watu wako kimya utafikiri kuwa Corona siyo ishu!Mtu mweusi ni Kima aliechangamka,you better believe!