Naomba kujuzwa taratibu za kufuata ili kuwa na Mwanasheria

Naomba kujuzwa taratibu za kufuata ili kuwa na Mwanasheria

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,562
Reaction score
3,715
Wakuu salaam,

Naona hatari ya sheria mbele yangu inanikalibia kutokana na mambo kadhaa ambayo nimeyapitia kazini. Naomba kufahamishwa jinsi gani naweza kuwa na mwanasheria mapema ili kama hali ikitokea niwe na mtetezi haraka iwezekanavyo pale atakaposikia tu nimekamatwa na polisi.

Naomba kuelezwa ,maana nawasikia watu wanasema wana Wanawasheria wao..!
 
Nadhani ni swala dogo tu la kwenda kwenye ofsi za mawakili.
 
Nadhani ni kwenda kwa mwanasheria ambaye unamwamin tu na kuzungumza naye namna bora ya kukulinda..hakuna fomula mkuu
 
Nasubiri majibu hapa, mimi mwenyewe nahitaji niwe na mwanasheria wangu.
 
1. Kuingia mkataba na ofisi ya sheria, ya kuwa mteja wao kwa muda na mambo mtakayokubaliana, na utalipia gharama huduma hiyo kulingana na ukubwa wa huduma.

2. Kufanya makubaliano na mwanasheria binafsi/mmoja (sio rasmi).

Chagua moja.
 
Back
Top Bottom