Wakuu salaam,
Naona hatari ya sheria mbele yangu inanikalibia kutokana na mambo kadhaa ambayo nimeyapitia kazini. Naomba kufahamishwa jinsi gani naweza kuwa na mwanasheria mapema ili kama hali ikitokea niwe na mtetezi haraka iwezekanavyo pale atakaposikia tu nimekamatwa na polisi.
Naomba kuelezwa ,maana nawasikia watu wanasema wana Wanawasheria wao..!