Naomba kujuzwa taratibu za kushtaki mtu unayemdai fedha

Olympus

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
2,818
Reaction score
688
Naomba kujuzwa taratibu za kushtaki mtu unayemdai fedha......yaan unaanzaje anzaje
 
Naomba kujuzwa taratibu za kushtaki mtu unayemdai fedha......yaan unaanzaje anzaje

Unaanza kwa kumuambia akulipe... na mtishie kuwa utamshitaki na hutorudi nyuma ukishafungua kesi... ila ndio vile ukitaka chako dai chako...

Mimi naogopa sana kukopesha mtu kwani ni sawa na kupoteza rafiki... waambieni wakopaji wenu kuwa mnawapenda wakakope benki kumnyima mtu mkopo si kumuua hivyo msikopeshe watu...
 

Nimemdai sana.....hivi nkienda kumshtaki polisi utakua nj mwanzo mzuri???
 
Najuta kumkopesha mtu fedha.. Sitokaa nimkopeshe mtu fedha hata kama anakufa!

Heri lawama kuliko hasara!
 
Najuta kumkopesha mtu fedha.. Sitokaa nimkopeshe mtu fedha hata kama anakufa!

Heri lawama kuliko hasara!

Na wewe kama unakufa ukopeshwe au tukuache ufe?
Tubu maneno yanaumba,hujui saa wala siku wala mahali....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…