Naomba kujuzwa taratibu za uuzaji wa bidhaa nje ya nchi

Naomba kujuzwa taratibu za uuzaji wa bidhaa nje ya nchi

banburydude1

Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
62
Reaction score
71
Wanajamii wenzangu wa JamiiForums, nimeunganishiwa deal ya kupeleka viatu vya Kimasai Ivory Coast na ndugu yangu wa ki Tanzania anayekaa na kufanya kazi kule.

Ombi langu kwenu mwenye kujua taratibu za kufuata ili nipeleke pair 20 za viatu kule kwa kuanzia. Nahitaji kuwa na vibali kama export licence na vitu kama hivyo? na kama ndiyo process ya kupata hivyo vibali ukoje?

PLEASE mwenye uelewa.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom