Naomba kujuzwa taratibu za uuzaji wa mali za umma zikizobaki katika ujenzi

Naomba kujuzwa taratibu za uuzaji wa mali za umma zikizobaki katika ujenzi

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
355
Naomba msaada Sheri ya manunuzi inasemaje endapo, ikiwa vifaa kama nondo, bati etc vimebaki, jee vinaruhusiwa kuuzwa?

Kama ndio kwautaratibu gani?
 
Taratbu za kufata Ni Kama wew n katbu
1:-Kuandaa kikao Cha kamati na kuazimia kuuza hvyoo vfaa
+ Muunde kamat ndogo zitahusika na kuuza vfaa hvyo (Kama ya manunuz ndio itabadlk kuw ya mauzo
+Weka tangazo la kuuza vfaa na Bei Elekezi
2:-Muweke kwann mnauza na mnavyoo uza Hivyo fedha matumiz yake nn
3😛esa zikipatkn zifate utaratbu wa matumiz
 
Bila kusahau store keeperr ku inshu anavyoouza
 
Naomba msaada Sheri ya manunuzi inasemaje endapo, ikiwa vifaa kama nondo, bati etc vimebaki, jee vinaruhusiwa kuuzwa?

Kama ndio kwautaratibu gani?
Je vimetoka nje yaani vilikua na Exemption kama ndiyo inatakiwa ifutwe exemption(Post Entry) kwa bidhaa husika.
 
Back
Top Bottom