Naomba kujuzwa tiba kwa nguruwe aliyedumaa

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
268
Reaction score
370
Halo wakubwa

Naomba msaada nguruwe wangu kadumaa. Je, nimlishe nini au nifanyeje arudi kwenye hali yake kawaida.
 
Ptuuuuu.... Nyamafu

Nyumba wanafuga nguruwe utaijua tu... Harufu kali mtaa mzima.

Ndio maana Waislamu na baadhi yetu Wakristo hatuipendi!
 
Halo wakubwa

Naomba msaada nguruwe wangu kadumaa. Je, nimlishe nini au nifanyeje arudi kwenye hali yake kawaida.
tafuta mautumbo ya samaki, chemsha iwe kama supu - changanya na Pumba za mahindi.

Nunua pig booster, changanya - koroga acha ipoe kisha mpatie

aiseee atakuwa anakula hadi anatoa chozi... baada ya wiki 3 utapata majibu.
 
Sasa atoe machozi kwasababu gani tena Mkuu???.
 
Huyo nguruwe unamfuga kama pet au wakuchinja na kumla mchuzi?
 
Back
Top Bottom