devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
Wewe ni mpumbavu sana. Unata watu wote waishi kama unavyotaka, sisi ni wa mamayako?!Ptuuuuu.... Nyamafu
Nyumba wanafuga nguruwe utaijua tu... Harufu kali mtaa mzima.
Ndio maana Waislamu na baadhi yetu Wakristo hatuipendi!
Unakulaga nguruwe?Wewe ni mpumbavu sana. Unata watu wote waishi kama unavyotaka, sisi ni wa mamayako?!
Sili lakini nina mpango wa kufuga kwajili ya biashara. Zina faida sana ArushaUnakulaga nguruwe?
Mbona nyie mnafuga majini na wakristo wetuliaPtuuuuu.... Nyamafu
Nyumba wanafuga nguruwe utaijua tu... Harufu kali mtaa mzima.
Ndio maana Waislamu na baadhi yetu Wakristo hatuipendi!
AstafighrulilahHalo wakubwa
Naomba msaada nguruwe wangu kadumaa. Je, nimlishe nini au nifanyeje arudi kwenye hali yake kawaida.
tafuta mautumbo ya samaki, chemsha iwe kama supu - changanya na Pumba za mahindi.Halo wakubwa
Naomba msaada nguruwe wangu kadumaa. Je, nimlishe nini au nifanyeje arudi kwenye hali yake kawaida.
Ukipenda kitimoto penda na harufu yake.Ptuuuuu.... Nyamafu
Nyumba wanafuga nguruwe utaijua tu... Harufu kali mtaa mzima.
Ndio maana Waislamu na baadhi yetu Wakristo hatuipendi!
Sasa atoe machozi kwasababu gani tena Mkuu???.tafuta mautumbo ya samaki, chemsha iwe kama supu - changanya na Pumba za mahindi.
Nunua pig booster, changanya - koroga acha ipoe kisha mpatie
aiseee atakuwa anakula hadi anatoa chozi... baada ya wiki 3 utapata majibu.
kaka utaam wa msosi ni balaaa !!! ππSasa atoe machozi kwasababu gani tena Mkuu???.
Halo wakubwa
Naomba msaada nguruwe wangu kadumaa. Je, nimlishe nini au nifanyeje arudi kwenye hali yake kawaida.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio atoe machozi??, labda kutikisa mkia.kaka utaam wa msosi ni balaaa !!! ππ