Fisi wa Dar
Member
- Apr 2, 2018
- 69
- 52
Mara nyingi hizo titles zinanichanganya. Naomba wenye weledi na mambo hayo watusaidie hasa MAJUKUMU na ELIMU zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Physician ni medical doctor aliye-specialize kwenye internal medicine( mwenye masters ya internal medicine), medical doctor ni daktari mwenye degree (bachelor of medicine), Assistance Medical Officer(A.M.O) ni clinical officer aliyeongeza elimu ya medicine kwa miaka miwili. Na clinical officer ni MTU mwenye diploma ya medicine( diploma in clinical medicine)Mara nyingi hizo titles zinanichanganya. Naomba wenye weledi na mambo hayo watusaidie hasa MAJUKUMU na ELIMU zao.
Nakushukuru sana nduguPhysician ni medical doctor aliye-specialize kwenye internal medicine( mwenye masters ya internal medicine), medical doctor ni daktari mwenye degree (bachelor of medicine), Assistance Medical Officer(A.M.O) ni clinical officer aliyeongeza elimu ya medicine kwa miaka miwili. Na clinical officer ni MTU mwenye diploma ya medicine( diploma in clinical medicine)
Sasa inapokuja kwenye kazi zao ni kama ifuatavyo;
Clinical officer - huyu anaandaliwa kufanya kazi katika ngazi ya zahanati, vituo vya afya na hospitali za wilaya. Ila kutokana na upungufu wa madaktari ushishangae ukimkuta hata hospitali za mikoa
Assistant Medical Officer- Hawa wanaanzia level ya vituo vya afya na kuendelea na Mara nyingi kazi zao ni kufanya operations ( surgery) ndogo ndogo, hususani za mambo ya uzazi kwa akinamama. Ila kutokana na kujifunza pamoja na on job training hawa siku hizi wanafanya hadi operations ambazo zinafanywa na ma-specialists
Medical Doctor- hawa wana bachelor za medicine kwa hiyo Mara nyingi wanafanya kazi kuanzia level ya hospital za wilaya na kuendelea. Ila usishangae ukimkuta kwenye kituo cha afya kwani wanaweza kupangiwa kulingana na uwezo wa kituo kutoa Huduma ambazo zinahitajika kuyolewa na Medical Doctor
Mwisho Physician huyu ni medical doctor aliye-specialize internal medicine. Majukumu yake makubwa ni kudeal na medical cases hususani internal medicine.
kwa kifupi hapo ni kwa mujibu wa uelewa wangu ila. Licha ya kila mmoja wapo kuwa na maeneo( level ya kituo cha kufanyia kazi) kutokana na elimu Yake kwa siku hizi kutokana na mabadiliko mbalimbali usishangae kumkuta hata physician kwenye private dispensary ambayo ni special clinic kwa internal medicine cases
Asante mkuu kwa ufafanuzi nina swali nini tofauti ya vituo vya afya Na hospital ya wilaya kama ukivipanga kwa ngazi itapendeza kiongozi mfano zakhem pale nizahanati au kituo cha afya?Physician ni medical doctor aliye-specialize kwenye internal medicine( mwenye masters ya internal medicine), medical doctor ni daktari mwenye degree (bachelor of medicine), Assistance Medical Officer(A.M.O) ni clinical officer aliyeongeza elimu ya medicine kwa miaka miwili. Na clinical officer ni MTU mwenye diploma ya medicine( diploma in clinical medicine)
Sasa inapokuja kwenye kazi zao ni kama ifuatavyo;
Clinical officer - huyu anaandaliwa kufanya kazi katika ngazi ya zahanati, vituo vya afya na hospitali za wilaya. Ila kutokana na upungufu wa madaktari ushishangae ukimkuta hata hospitali za mikoa
Assistant Medical Officer- Hawa wanaanzia level ya vituo vya afya na kuendelea na Mara nyingi kazi zao ni kufanya operations ( surgery) ndogo ndogo, hususani za mambo ya uzazi kwa akinamama. Ila kutokana na kujifunza pamoja na on job training hawa siku hizi wanafanya hadi operations ambazo zinafanywa na ma-specialists
Medical Doctor- hawa wana bachelor za medicine kwa hiyo Mara nyingi wanafanya kazi kuanzia level ya hospital za wilaya na kuendelea. Ila usishangae ukimkuta kwenye kituo cha afya kwani wanaweza kupangiwa kulingana na uwezo wa kituo kutoa Huduma ambazo zinahitajika kuyolewa na Medical Doctor
Mwisho Physician huyu ni medical doctor aliye-specialize internal medicine. Majukumu yake makubwa ni kudeal na medical cases hususani internal medicine.
kwa kifupi hapo ni kwa mujibu wa uelewa wangu ila. Licha ya kila mmoja wapo kuwa na maeneo( level ya kituo cha kufanyia kazi) kutokana na elimu Yake kwa siku hizi kutokana na mabadiliko mbalimbali usishangae kumkuta hata physician kwenye private dispensary ambayo ni special clinic kwa internal medicine cases
WHAT ABOUT D.M.O
Nitajaribu kujibu swali lako kama ifuatavyo:Asante mkuu kwa ufafanuzi nina swali nini tofauti ya vituo vya afya Na hospital ya wilaya kama ukivipanga kwa ngazi itapendeza kiongozi mfano zakhem pale nizahanati au kituo cha afya?
Nimekupata kiongozi asanteNitajaribu kujibu swali lako kama ifuatavyo:
Tukianzia level ya chini kuna Zahanati/ Dispensary.
Inafuata level ya kituo cha afya/ health center
Inafuata hospitali ya Wilaya/ District Hospital
Hospitali ya Mkoa/ Regional Referral Hospital
Hospitali ya Kanda eg KCMC
Hospitali ya Taifa eg Muhimbili National Hospital.
Natumaini hapo utakukuwa umepata kitu.
Kuna level za hospital zetu kulingana na mazingira na upatikanaji wa huduma za afya ambazo zimepangwa kulingana na huduma zinazotolewa mahali hapo na hizi hufanyiwa ukaguzi kila mwaka na inapoonekana imekidhi vigezo flani na basi hupandishwa daraja kulingana na idadi ya watu/wagonjwa pamoja na huduma na madaktari level hizo niAsante mkuu kwa ufafanuzi nina swali nini tofauti ya vituo vya afya Na hospital ya wilaya kama ukivipanga kwa ngazi itapendeza kiongozi mfano zakhem pale nizahanati au kituo cha afya?
Certificate ya utabibu =Clinical OfficerUkisomea AMO ukamaliza ukataka kujiendekeza unakua na sifa gani?
Ukiwa AMO,kwa set up ya TZ utasoma miaka 5 kupata shahada ya udaktari.mi nazungumzia ukimaliza ordinary diploma unaenda advanced medical officer najua AMO ni miaka 2 ukiwa na experience ya miaka 3 sasa ukimaliza iyo koz degree miaka mingap?
Umekusudia kudanganya au na wewe hujui ulichokiandika?!Certificate ya utabibu =Clinical Officer
Diploma ya utabibu= AMO
Degree ya utabibu= MD
[emoji849][emoji849][emoji849]Ukiwa AMO,kwa set up ya TZ utasoma miaka 5 kupata shahada ya udaktari.