Naomba kujuzwa tofauti kati ya Toyota Carina Si na Ti

Carina Si na Carina Ti, ni gari zinazofanana kabisa muonekano.... lakini zinapishana engine...

Si inatumia engine ya 7A, ambayo ni 1790cc
Ti inatumia engine ya 5A, ambayo ni 1498cc
Utofauti huo unapelekea Carina Ti kuwa na unywaji mdogo wa mafuta ukilinganishwa na Si....
Lakini Si ina nguvu zaidi ya Ti...

Kwa mtu wa kusafirisafiri, chagua Si, mtu wa trip za town... kamata Ti.

NB: kwa mtazamo wangu, naona zote zinahimili vumbi.
 
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ahsante sana, sasa nimefahamu.

Mjukuu wa Mzee Hemedi
 
Ahsante sana, sasa nimefahamu.

Mjukuu wa Mzee Hemedi
Tofauti ni ukubwa wa engine tu,infact nimeshawahi tumia Ti,Ti inachanganya speed taratibu sana ingawa matumiz yake ya mafuta ni madogo ukilinganisha na Si,na pia tofauti ya ulaji wa mafuta wa zote mbili ni mdogo,ila ukipata Si manual transmission utafurahia ulaji wake wa mafuta.Si can go above 14km/litre highway ikiwa auto-na tegemea more km per litre ikiwa manual.
 
Na Kwa kuongezea,Carina Ti zipo za aina tofauti tofauti
1)Carina Ti 1498cc 5A engine
2)Carina Ti 2000cc 3s engine
3)Carina Ti 2184cc 3c engine-Turbo
 
Si ndio tamu mkuu, mwisho wa siku wewe ndio muamuzi ila naona gari ya 1.8L ndio standard spec kwa matumizi yote. Ina nguvu sana na pia inahimili safari ndefu.
Xtrail 1990cc old model ipoje kwa ulaji?
 
Tofauti ni ukubwa wa engine tu,infact nimeshawahi tumia Ti,Ti inachanganya speed taratibu sana ingawa matumiz yake ya mafuta ni madogo ukilinganisha na Si,na pia tofauti ya ulaji wa mafuta wa zote mbili ni mdogo,ila ukipata Si manual transmission utafurahia ulaji wake wa mafuta.Si can go above 14km/litre highway ikiwa auto-na tegemea more km per litre ikiwa manual.
mkuu naona unifahamu sana Ti
kwa kawaida Ti matumizi ya mafuta kwa mjini na safari ndefu inaendaje?
 
Back
Top Bottom