hemedis grandson
Member
- Feb 12, 2020
- 21
- 25
πππππCarina Si na Carina Ti, ni gari zinazofanana kabisa muonekano.... lakini zinapishana engine...
Ahsante sana, sasa nimefahamu.Carina Si na Carina Ti, ni gari zinazofanana kabisa muonekano.... lakini zinapishana engine...
Si inatumia engine ya 7A, ambayo ni 1790cc
Ti inatumia engine ya 5A, ambayo ni 1498cc
Utofauti huo unapelekea Carina Ti kuwa na unywaji mdogo wa mafuta ukilinganishwa na Si....
Lakini Si ina nguvu zaidi ya Ti...
Kwa mtu wa kusafirisafiri, chagua Si, mtu wa trip za town... kamata Ti.
NB: kwa mtazamo wangu, naona zote zinahimili vumbi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tofauti ni ukubwa wa engine tu,infact nimeshawahi tumia Ti,Ti inachanganya speed taratibu sana ingawa matumiz yake ya mafuta ni madogo ukilinganisha na Si,na pia tofauti ya ulaji wa mafuta wa zote mbili ni mdogo,ila ukipata Si manual transmission utafurahia ulaji wake wa mafuta.Si can go above 14km/litre highway ikiwa auto-na tegemea more km per litre ikiwa manual.Ahsante sana, sasa nimefahamu.
Mjukuu wa Mzee Hemedi
Na Kwa kuongezea,Carina Ti zipo za aina tofauti tofautiTofauti ni ukubwa wa engine tu,infact nimeshawahi tumia Ti,Ti inachanganya speed taratibu sana ingawa matumiz yake ya mafuta ni madogo ukilinganisha na Si,na pia tofauti ya ulaji wa mafuta wa zote mbili ni mdogo,ila ukipata Si manual transmission utafurahia ulaji wake wa mafuta.Si can go above 14km/litre highway ikiwa auto-na tegemea more km per litre ikiwa manual.
Ahsante kwa ufafanuziNa Kwa kuongezea,Carina Ti zipo za aina tofauti tofauti
1)Carina Ti 1498cc 5A engine
2)Carina Ti 2000cc 3s engine
3)Carina Ti 2184cc 3c engine-Turbo
Xtrail 1990cc old model ipoje kwa ulaji?Si ndio tamu mkuu, mwisho wa siku wewe ndio muamuzi ila naona gari ya 1.8L ndio standard spec kwa matumizi yote. Ina nguvu sana na pia inahimili safari ndefu.
mkuu naona unifahamu sana TiTofauti ni ukubwa wa engine tu,infact nimeshawahi tumia Ti,Ti inachanganya speed taratibu sana ingawa matumiz yake ya mafuta ni madogo ukilinganisha na Si,na pia tofauti ya ulaji wa mafuta wa zote mbili ni mdogo,ila ukipata Si manual transmission utafurahia ulaji wake wa mafuta.Si can go above 14km/litre highway ikiwa auto-na tegemea more km per litre ikiwa manual.