Wilhelm Johnny JF-Expert Member Joined Jan 13, 2016 Posts 1,368 Reaction score 1,325 Aug 30, 2022 #1 Wakuu Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano Tanzania. Twende kwenye mada wakuu nilikua naomba kujuzwa tofauti ya 2.4GHz WLAN na 5GHz WLAN na kazi zake kwa matumizi ya Wi-Fi maofisini na nyumbani
Wakuu Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano Tanzania. Twende kwenye mada wakuu nilikua naomba kujuzwa tofauti ya 2.4GHz WLAN na 5GHz WLAN na kazi zake kwa matumizi ya Wi-Fi maofisini na nyumbani
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 23,901 Reaction score 58,103 Aug 30, 2022 #2 Wilhelm Johnny said: 2.4GHz WLAN na 5GHz WLAN Click to expand... 2.4 GHz ina support Mbps ndogo sema inakwenda mbali (coverage kubwa) 5 GHz ina support Mbps kubwa sema haienda mbali, kukiwa na kuta kuta ndiyo kabisa
Wilhelm Johnny said: 2.4GHz WLAN na 5GHz WLAN Click to expand... 2.4 GHz ina support Mbps ndogo sema inakwenda mbali (coverage kubwa) 5 GHz ina support Mbps kubwa sema haienda mbali, kukiwa na kuta kuta ndiyo kabisa
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Aug 30, 2022 #3 dronedrake said: 2.4 GHz ina support Mbps ndogo sema inakwenda mbali (coverage kubwa) 5 GHz ina support Mbps kubwa sema haienda mbali, kukiwa na kuta kuta ndiyo kabisa Click to expand... SAWA
dronedrake said: 2.4 GHz ina support Mbps ndogo sema inakwenda mbali (coverage kubwa) 5 GHz ina support Mbps kubwa sema haienda mbali, kukiwa na kuta kuta ndiyo kabisa Click to expand... SAWA
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 31,559 Reaction score 42,179 Aug 30, 2022 #4 Kuongezea hapo juu 5ghz sio tu ina bandwidth kubwa bali ina latency ndogo inafaa unapotengeneza Network ya Nyumba kama kustream Games, movies etc baina ya vifaa na vifaa. 5ghz inafika hadi 1300mbps.
Kuongezea hapo juu 5ghz sio tu ina bandwidth kubwa bali ina latency ndogo inafaa unapotengeneza Network ya Nyumba kama kustream Games, movies etc baina ya vifaa na vifaa. 5ghz inafika hadi 1300mbps.