Naomba kujuzwa ubora au udhaifu wa mabati aina ya Sun Bank

Naomba kujuzwa ubora au udhaifu wa mabati aina ya Sun Bank

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wadau Habari za asubuhi?

Nikiwa site nilitembelewa na sales team wa haya mabati ya Sun Bank. Wakajinadi sana wakidai bati zao ni bora sana mithili ya ALAF

Wakasema izo bati ni popular Arusha , nikaona bora niulize humu ili kupata taarifa walau kama kuna yeyote aliyewahi kutumia izi bati
 
Mmmh wale jamaa wa sales waongo waongo sana...anyway, mimi ndio kwanza nayasikia
 
Nimeezeka na hayo mabati nilitaka alaf ila kipindi hicho sikufanikiwa niliendaa hadi Arusha material hayakuwepo, Kuna mtu Baki ambaye hana maslai na hiyo kampuni alinishauri kama nitaenda sehemu nyingn niende San bank in such walinipa warranty mwaka wa pili huu ni muda mchache kujudge ila yapo vilevile ...
 
Yapo vile vile vp?

Back
Top Bottom