Soldiergirl255
Member
- Oct 18, 2017
- 25
- 11
Asante.Hiki kigari kizuri sana nilikuwa nashangaa hio economy yake km/l il so far ni kigari ambacho kina engine kama ya suzuki kei (660cc) nadhani watakuwa Toyota wameingia ubia na Suzuki kukitengeneza maana Suzuki ndio wakali wa hizo kazi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wabongo hawajakijua hiko.
Wakikijua tu na kikawa hakina shida kama za Passo! Basi IST soko lake litaelekea kwenye ukomo.
Hivi matatizo ya passo ni yapi mkuu.Hiki kigari kizuri sana nilikuwa nashangaa hio economy yake km/l il so far ni kigari ambacho kina engine kama ya suzuki kei (660cc) nadhani watakuwa Toyota wameingia ubia na Suzuki kukitengeneza maana Suzuki ndio wakali wa hizo kazi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wabongo hawajakijua hiko.
Wakikijua tu na kikawa hakina shida kama za Passo! Basi IST soko lake litaelekea kwenye ukomo.
Mfumo wake wa steering rack upo so delicate. Bushes za mbele zinakufa haraka na inagonga sana mbele hata kama umefanya service leo itakuvumilia sana mwezi balaa linarudi tena.Hivi matatizo ya passo ni yapi mkuu.