Naomba kujuzwa ubora na udhaifu wa gari aina ya Volkwagen Jetta

Naomba kujuzwa ubora na udhaifu wa gari aina ya Volkwagen Jetta

Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2014
Posts
655
Reaction score
1,069
Wakuu naomba tusaidiane kujua uimara na udhaifu wa hio gar mana nimeiona nikasema ngoja nishee nanyi hapa ili wadau muidadavue hasa kwa wale wenye nayo

Ina cc 1340 hivo najua kuna wadau wanaweza kuwa wanaijua vema
Ngoja nitume na kapicha

Screenshot_20210604-175637.png

Screenshot_20210604-175625.png
 
Kwanza, kwa kuanza, sikushauri sana, uchukue hiyo ambayo ipo singapore
Huwa zinamatatizo mengi sana mara nyingi gari za singapore.

Angalia iliyopo japan.
 
Kwanza, kwa kuanza, sikushauri sana, uchukue hiyo ambayo ipo singapore
Huwa zinamatatizo mengi sana mara nyingi gari za singapore.

Angalia iliyopo japan.
Duh..ushauri wa kiwango cha SGR huu.... ........
 
Cruise auto spare ni wauzaji wa spear party za magari
Jeep,
BMW,
Audi,
Land rover,
Porsche,
Volkswagen,
Chrysler,
Range/Land rover

Duka linapatikana MAKAO MAPYA,EDEN ROAD jirani na cafe laziz restaurant,Arusha

Kwa mawasiliano piga +255743805465,+255786050747
Email:cruisespares@gmail.com
Fb&IG:cruiseautospareparts

Pia usisite kuwasiliana nasi pia tunatoa ushauri.
 
Back
Top Bottom