Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 655
- 1,069
Duh..ushauri wa kiwango cha SGR huu.... ........Kwanza, kwa kuanza, sikushauri sana, uchukue hiyo ambayo ipo singapore
Huwa zinamatatizo mengi sana mara nyingi gari za singapore.
Angalia iliyopo japan.
Magari ya Singapore ni mabovu ni Bora ununue baiskeli kuliko Magari ya nchi hiyohaya mkuuu
lkn vip kuhusu gari yenyeweKwanza, kwa kuanza, sikushauri sana, uchukue hiyo ambayo ipo singapore
Huwa zinamatatizo mengi sana mara nyingi gari za singapore.
Angalia iliyopo japan.
unaifahamujeDuh..ushauri wa kiwango cha SGR huu.... ........