Mr_Teacher
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 362
- 343
Naam bossKitu icho au sio.
View attachment 1718542
Mm huwa kama kitu nimekipenda nanunua mengine yatakuja mbeleniHabari wadau?
Nataka nibadilishe haka ka IST kangu nataka nichuke Ipsum New Model kwa ajili ya uhitaji wa Family Car. sasa kwa wenye uzoefu naomba kujua kama Ipsum iko vizuri ubora wake na hata ulaji wa mafuta maana naona nyingi 233+cc lakini na kama zina shida yoyote!
Ahsanteni
shukrani bos kwa hili pia, nalo ni nenoMm huwa kama kitu nimekipenda nanunua mengine yatakuja mbeleni
ha ha ha , ahksante kakaJilipue tu na kila la kheri...
pa sasa kwa family car ntapata ipi ya hizo CC na ambayo ni imaraCC zake hizo lazima mafuta yalike.Gari economy ni zile zenye CC kati ya 1000 hadi 1500
Sientaha
pa sasa kwa family car ntapata ipi ya hizo CC na ambayo ni imara
Kwani ipsum ina siti ngapi za kubeba abiria kwa mfano, maana unaweza badili gari kwasababu ya ukubwa kubeba abiria kumbe umeongezewa sehemu ya kuweka mizigo tu idadi ya abiria ni ile ile.ha
pa sasa kwa family car ntapata ipi ya hizo CC na ambayo ni imara
Yaani hapo corolla spacio new model ndio jibu la matatizo yako yoteha
pa sasa kwa family car ntapata ipi ya hizo CC na ambayo ni imara
Ipsuma nmeona ina uwezo wa kubeba watu saba hadi naneKwani ipsum ina siti ngapi za kubeba abiria kwa mfano, maana unaweza badili gari kwasababu ya ukubwa kubeba abiria kumbe umeongezewa sehemu ya kuweka mizigo tu idadi ya abiria ni ile ile.
Ila engine kubwa bora spacioIpsuma nmeona ina uwezo wa kubeba watu saba hadi nane
Iko njemaHabari wadau?
Nataka nibadilishe haka ka IST kangu nataka nichuke Ipsum New Model kwa ajili ya uhitaji wa Family Car. sasa kwa wenye uzoefu naomba kujua kama Ipsum iko vizuri ubora wake na hata ulaji wa mafuta maana naona nyingi 233+cc lakini na kama zina shida yoyote!
Ahsanteni
Hazard au ulimaanisha Alphard ??Kwann usichukue hazard
Ooooh jeah mkuu naona nilimix mafaili hapHazard au ulimaanisha Alphard ??