doctordrew
Member
- Apr 26, 2020
- 71
- 36
Habari zenu wakuu?
Naomba kujua uimara wa Toyota Ractis wa wanaofahamu au waliowahi kuitumia.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toyota Ractis ni gari zuri tu actually ni jamii moja na akina belta, ist, vitz. Vilevile lina space kubwa ndani na hata dashboard yake imekaa vizuri na ulaji wa mafuta uko vizuri. Hizi gar ni new model ya Funcargo. Yako ya cc 1300 na 1500 na mengi yana injini za VVTI injini ambazo mafundi wengi wa kibongo wanamudu kirahisi kuzitengeneza na vilevile zimeprove kibongobongo kuwa ni nzuri. Yapo ya 2WD na 4WD.Habari zenu wakuu?
Naomba kujua uimara wa Toyota Ractis wa wanaofahamu au waliowahi kuitumia.
Shukrani mkuu.Toyota Ractis ni gari zuri tu actually ni jamii moja na akina belta, ist, vitz. Vilevile lina space kubwa ndani na hata dashboard yake imekaa vizuri na ulaji wa mafuta uko vizuri. Hizi gar ni new model ya Funcargo. Yako ya cc 1300 na 1500 na mengi yana injini za VVTI injini ambazo mafundi wengi wa kibongo wanamudu kirahisi kuzitengeneza na vilevile zimeprove kibongobongo kuwa ni nzuri. Yapo ya 2WD na 4WD.
Ushauri wangu ni kuwa tafuta ractis yenye kilometer zisizozidi 50,0000 na kama utaagizia toka japan nunua toka makampuni ya autorec, cardeal, na japanesevehicles.com/trust. vilevile sisitiza kampuni za ukaguzi kama JEVIC kuna moja inaitwa East African MotoVehicles .....hii ikatae kabisa isifanye ukaguzi wa gari lako pesa yako watakula na hakuna ukaguzi wowote wa maana watakaoufanya na once gari ukishalipata utashangaa linaanza kukusumbua. Toyota ractis ukiweka oil feki kwenye gearbox ujiandae kununua gearbox mpya! haitaki oil isiyo yake, kingine ni kuwa mara kwa mara ABS sensor huwa zinakufa. Ikitokea hii tafuta fundi nguli wa umeme kama JituMirabaMinne au LEGE wakurekebishie uwekewe sensor zingine. Kingine nunua yenye fog light chini utaenjoy usiku utaona barabara vizuri.
Japo hizi gari zinavumilia shida but siyo usubiri mpaka ikorooooke ndiyo uipeleke gereji, pleaase penda gari lako! Kingine injini ikianza kusumbua usidanganyike kuwa eti ohh sijui ifanyiwe ovaul utaishiwa kuliwa hela na kamwe gari haitokupa matokeo mazuri injini kichoka nunua nyingine.
Kingine ukitoa spare ambayo ilikuja na gari usitupe maana siku ikitokea unahitaji badilisha utakuwa nayo kama sample itakayokusadia kupata spare nyingine kama iliyokuja au inayokaribiana iliyokuja na gari.
Gharama za utunzaji ni za kwaida kwa kutegemea unaweka vitu vya ubora upi na unanua wapi bei zipo hivi kutokea bei kubwa kuelekea bei ndogo duka la toyota Tanzania, Kisangani, Master card.
-Spark plug za kawaida kuna za 15,000, 20,000 na 40,000 so ni wewe uwezo wako chonde chochonde usidanganywe ukaweka vile viplug vifupi za ractis ni ndefu wanaziita za sindano au maplug feki ya kichina
-Gear box oil ya kwake origional ni around 140,000 mpaka 150,000 chondechonde usibugi ukaweka mioil isiyo na viwango utajuta, ukitaka hizi oil jipinde tu nenda Kisangani au Master card kanunue origional ya Toyota ractis kulingana na specification. Vinginevyo ukiweka mioil mingine jiandae gar kuwa slow, kutoingiza gear na mwishowe gear box kufa.
-Engine oil ni hizi za total around 55,000 au puma around 80,000.
-Fuel pump ya japani sio toyota 140,000 ukitaka denso 500,000 mpaka 700,000
-Air filter 10,000 ila origional yake ni 50,000-70,000
-Oil filter 10,000 mpaka 25,000.
-Air condition air cleaner 30,000 -60,0000
-Fuel filter 40,000-60,000.
Toyota ractis body lake siyo gumu sana kama zilivyo toyota zingine so jihadhari ikikwama sehemu ihandle with care vinginevyo watu wataisukuma utatoka na utashangaa wamebonyeza body! vilevile vitu vyake vya ndani sio vya plastic ngumu so usishangae vitu kama ac vent kukatika vile viplastic vyake.
Kuwa makini kuna ractis zenye gearbox za cvt achana nazo itakusumbua urudi kuanzisha thread humu!
Ukinunua weka spacer liinuke kidogo ili lisiguse chini kwenye mashimo na matuta ya barabarani
Karibu sana kwenye ulimwengu wa ractis utaenjoy mimi nimewahi kuliabuse sana lakini dah lipo tu kuna kipindi sikuwa naangalia coolant mara kwa mara kwa kuwa najua nimeweka coolant nzuri za castrol doh kumbe buana radiator tank pale juu imepasuka, basi ikawa coolant baada ya muda kidogo tu zinaisha na ikiwekwa sometime zinachemka ka maji ya ugali nikampelekea fundi mmoja mzuri tu yupo mikocheni near kairuki hospital naye hola, ni mpaka baadae baada ya kusomasoma kwenye internet ndo nikagundua kumbe plastic tank imekreki dah but muda wote huo gari imevumilia tu mara nyingi ile red light ya temperature ishawakaga sana tu, but nashukuru hakukuwa na madhara yaliyokuwa yametokea simpo tu nikanunua radiator tank na kuoverheat kukaisha.
Kwenye gear box napo nimewekaga mioil ya hovyo kama mara tatu hivi, dah baadae kuja kusoma kwenye internet ndo nikajua oilsahihi but nilikuwa na bahati gear box haikufa.
Wewe aidha upo unauza/unafanya kazi yadi/show room, sales & marketing manager au uliwahi kumiliki gari ractis.Toyota Ractis ni gari zuri tu actually ni jamii moja na akina belta, ist, vitz. Vilevile lina space kubwa ndani na hata dashboard yake imekaa vizuri na ulaji wa mafuta uko vizuri. Hizi gar ni new model ya Funcargo. Yako ya cc 1300 na 1500 na mengi yana injini za VVTI injini ambazo mafundi wengi wa kibongo wanamudu kirahisi kuzitengeneza na vilevile zimeprove kibongobongo kuwa ni nzuri. Yapo ya 2WD na 4WD.
Ushauri wangu ni kuwa tafuta ractis yenye kilometer zisizozidi 50,0000 na kama utaagizia toka japan nunua toka makampuni ya autorec, cardeal, na japanesevehicles.com/trust. vilevile sisitiza kampuni za ukaguzi kama JEVIC kuna moja inaitwa East African MotoVehicles .....hii ikatae kabisa isifanye ukaguzi wa gari lako pesa yako watakula na hakuna ukaguzi wowote wa maana watakaoufanya na once gari ukishalipata utashangaa linaanza kukusumbua. Toyota ractis ukiweka oil feki kwenye gearbox ujiandae kununua gearbox mpya! haitaki oil isiyo yake, kingine ni kuwa mara kwa mara ABS sensor huwa zinakufa. Ikitokea hii tafuta fundi nguli wa umeme kama JituMirabaMinne au LEGE wakurekebishie uwekewe sensor zingine. Kingine nunua yenye fog light chini utaenjoy usiku utaona barabara vizuri.
Japo hizi gari zinavumilia shida but siyo usubiri mpaka ikorooooke ndiyo uipeleke gereji, pleaase penda gari lako! Kingine injini ikianza kusumbua usidanganyike kuwa eti ohh sijui ifanyiwe ovaul utaishiwa kuliwa hela na kamwe gari haitokupa matokeo mazuri injini kichoka nunua nyingine.
Kingine ukitoa spare ambayo ilikuja na gari usitupe maana siku ikitokea unahitaji badilisha utakuwa nayo kama sample itakayokusadia kupata spare nyingine kama iliyokuja au inayokaribiana iliyokuja na gari.
Gharama za utunzaji ni za kwaida kwa kutegemea unaweka vitu vya ubora upi na unanua wapi bei zipo hivi kutokea bei kubwa kuelekea bei ndogo duka la toyota Tanzania, Kisangani, Master card.
-Spark plug za kawaida kuna za 15,000, 20,000 na 40,000 so ni wewe uwezo wako chonde chochonde usidanganywe ukaweka vile viplug vifupi za ractis ni ndefu wanaziita za sindano au maplug feki ya kichina
-Gear box oil ya kwake origional ni around 140,000 mpaka 150,000 chondechonde usibugi ukaweka mioil isiyo na viwango utajuta, ukitaka hizi oil jipinde tu nenda Kisangani au Master card kanunue origional ya Toyota ractis kulingana na specification. Vinginevyo ukiweka mioil mingine jiandae gar kuwa slow, kutoingiza gear na mwishowe gear box kufa.
-Engine oil ni hizi za total around 55,000 au puma around 80,000.
-Fuel pump ya japani sio toyota 140,000 ukitaka denso 500,000 mpaka 700,000
-Air filter 10,000 ila origional yake ni 50,000-70,000
-Oil filter 10,000 mpaka 25,000.
-Air condition air cleaner 30,000 -60,0000
-Fuel filter 40,000-60,000.
Toyota ractis body lake siyo gumu sana kama zilivyo toyota zingine so jihadhari ikikwama sehemu ihandle with care vinginevyo watu wataisukuma utatoka na utashangaa wamebonyeza body! vilevile vitu vyake vya ndani sio vya plastic ngumu so usishangae vitu kama ac vent kukatika vile viplastic vyake.
Kuwa makini kuna ractis zenye gearbox za cvt achana nazo itakusumbua urudi kuanzisha thread humu!
Ukinunua weka spacer liinuke kidogo ili lisiguse chini kwenye mashimo na matuta ya barabarani
Karibu sana kwenye ulimwengu wa ractis utaenjoy mimi nimewahi kuliabuse sana lakini dah lipo tu kuna kipindi sikuwa naangalia coolant mara kwa mara kwa kuwa najua nimeweka coolant nzuri za castrol doh kumbe buana radiator tank pale juu imepasuka, basi ikawa coolant baada ya muda kidogo tu zinaisha na ikiwekwa sometime zinachemka ka maji ya ugali nikampelekea fundi mmoja mzuri tu yupo mikocheni near kairuki hospital naye hola, ni mpaka baadae baada ya kusomasoma kwenye internet ndo nikagundua kumbe plastic tank imekreki dah but muda wote huo gari imevumilia tu mara nyingi ile red light ya temperature ishawakaga sana tu, but nashukuru hakukuwa na madhara yaliyokuwa yametokea simpo tu nikanunua radiator tank na kuoverheat kukaisha.
Kwenye gear box napo nimewekaga mioil ya hovyo kama mara tatu hivi, dah baadae kuja kusoma kwenye internet ndo nikajua oilsahihi but nilikuwa na bahati gear box haikufa.
Toyota Ractis ni gari zuri tu actually ni jamii moja na akina belta, ist, vitz. Vilevile lina space kubwa ndani na hata dashboard yake imekaa vizuri na ulaji wa mafuta uko vizuri. Hizi gar ni new model ya Funcargo. Yako ya cc 1300 na 1500 na mengi yana injini za VVTI injini ambazo mafundi wengi wa kibongo wanamudu kirahisi kuzitengeneza na vilevile zimeprove kibongobongo kuwa ni nzuri. Yapo ya 2WD na 4WD.

Mkuu vipi kwa Toyota- Vista,,,,,nimeupenda sana maelezo yako aiseeeToyota Ractis ni gari zuri tu actually ni jamii moja na akina belta, ist, vitz. Vilevile lina space kubwa ndani na hata dashboard yake imekaa vizuri na ulaji wa mafuta uko vizuri. Hizi gar ni new model ya Funcargo. Yako ya cc 1300 na 1500 na mengi yana injini za VVTI injini ambazo mafundi wengi wa kibongo wanamudu kirahisi kuzitengeneza na vilevile zimeprove kibongobongo kuwa ni nzuri. Yapo ya 2WD na 4WD.

Hapa umemaliza kila kitu aiseeToyota Ractis ni gari zuri tu actually ni jamii moja na akina belta, ist, vitz. Vilevile lina space kubwa ndani na hata dashboard yake imekaa vizuri na ulaji wa mafuta uko vizuri. Hizi gar ni new model ya Funcargo. Yako ya cc 1300 na 1500 na mengi yana injini za VVTI injini ambazo mafundi wengi wa kibongo wanamudu kirahisi kuzitengeneza na vilevile zimeprove kibongobongo kuwa ni nzuri. Yapo ya 2WD na 4WD.
Ushauri wangu ni kuwa tafuta ractis yenye kilometer zisizozidi 50,0000 na kama utaagizia toka japan nunua toka makampuni ya autorec, cardeal, na japanesevehicles.com/trust. vilevile sisitiza kampuni za ukaguzi kama JEVIC kuna moja inaitwa East African MotoVehicles .....hii ikatae kabisa isifanye ukaguzi wa gari lako pesa yako watakula na hakuna ukaguzi wowote wa maana watakaoufanya na once gari ukishalipata utashangaa linaanza kukusumbua. Toyota ractis ukiweka oil feki kwenye gearbox ujiandae kununua gearbox mpya! haitaki oil isiyo yake, kingine ni kuwa mara kwa mara ABS sensor huwa zinakufa. Ikitokea hii tafuta fundi nguli wa umeme kama JituMirabaMinne au LEGE wakurekebishie uwekewe sensor zingine. Kingine nunua yenye fog light chini utaenjoy usiku utaona barabara vizuri.
Japo hizi gari zinavumilia shida but siyo usubiri mpaka ikorooooke ndiyo uipeleke gereji, pleaase penda gari lako! Kingine injini ikianza kusumbua usidanganyike kuwa eti ohh sijui ifanyiwe ovaul utaishiwa kuliwa hela na kamwe gari haitokupa matokeo mazuri injini kichoka nunua nyingine.
Kingine ukitoa spare ambayo ilikuja na gari usitupe maana siku ikitokea unahitaji badilisha utakuwa nayo kama sample itakayokusadia kupata spare nyingine kama iliyokuja au inayokaribiana iliyokuja na gari.
Gharama za utunzaji ni za kwaida kwa kutegemea unaweka vitu vya ubora upi na unanua wapi bei zipo hivi kutokea bei kubwa kuelekea bei ndogo duka la toyota Tanzania, Kisangani, Master card.
-Spark plug za kawaida kuna za 15,000, 20,000 na 40,000 so ni wewe uwezo wako chonde chochonde usidanganywe ukaweka vile viplug vifupi za ractis ni ndefu wanaziita za sindano au maplug feki ya kichina
-Gear box oil ya kwake origional ni around 140,000 mpaka 150,000 chondechonde usibugi ukaweka mioil isiyo na viwango utajuta, ukitaka hizi oil jipinde tu nenda Kisangani au Master card kanunue origional ya Toyota ractis kulingana na specification. Vinginevyo ukiweka mioil mingine jiandae gar kuwa slow, kutoingiza gear na mwishowe gear box kufa.
-Engine oil ni hizi za total around 55,000 au puma around 80,000.
-Fuel pump ya japani sio toyota 140,000 ukitaka denso 500,000 mpaka 700,000
-Air filter 10,000 ila origional yake ni 50,000-70,000
-Oil filter 10,000 mpaka 25,000.
-Air condition air cleaner 30,000 -60,0000
-Fuel filter 40,000-60,000.
Toyota ractis body lake siyo gumu sana kama zilivyo toyota zingine so jihadhari ikikwama sehemu ihandle with care vinginevyo watu wataisukuma utatoka na utashangaa wamebonyeza body! vilevile vitu vyake vya ndani sio vya plastic ngumu so usishangae vitu kama ac vent kukatika vile viplastic vyake.
Kuwa makini kuna ractis zenye gearbox za cvt achana nazo itakusumbua urudi kuanzisha thread humu!
Ukinunua weka spacer liinuke kidogo ili lisiguse chini kwenye mashimo na matuta ya barabarani
Karibu sana kwenye ulimwengu wa ractis utaenjoy mimi nimewahi kuliabuse sana lakini dah lipo tu kuna kipindi sikuwa naangalia coolant mara kwa mara kwa kuwa najua nimeweka coolant nzuri za castrol doh kumbe buana radiator tank pale juu imepasuka, basi ikawa coolant baada ya muda kidogo tu zinaisha na ikiwekwa sometime zinachemka ka maji ya ugali nikampelekea fundi mmoja mzuri tu yupo mikocheni near kairuki hospital naye hola, ni mpaka baadae baada ya kusomasoma kwenye internet ndo nikagundua kumbe plastic tank imekreki dah but muda wote huo gari imevumilia tu mara nyingi ile red light ya temperature ishawakaga sana tu, but nashukuru hakukuwa na madhara yaliyokuwa yametokea simpo tu nikanunua radiator tank na kuoverheat kukaisha.
Kwenye gear box napo nimewekaga mioil ya hovyo kama mara tatu hivi, dah baadae kuja kusoma kwenye internet ndo nikajua oilsahihi but nilikuwa na bahati gear box haikufa.
Kula like mkuu.Toyota Ractis ni gari zuri tu actually ni jamii moja na akina belta, ist, vitz. Vilevile lina space kubwa ndani na hata dashboard yake imekaa vizuri na ulaji wa mafuta uko vizuri. Hizi gar ni new model ya Funcargo. Yako ya cc 1300 na 1500 na mengi yana injini za VVTI injini ambazo mafundi wengi wa kibongo wanamudu kirahisi kuzitengeneza na vilevile zimeprove kibongobongo kuwa ni nzuri. Yapo ya 2WD na 4WD.
Ushauri wangu ni kuwa tafuta ractis yenye kilometer zisizozidi 50,0000 na kama utaagizia toka japan nunua toka makampuni ya autorec, cardeal, na japanesevehicles.com/trust. vilevile sisitiza kampuni za ukaguzi kama JEVIC kuna moja inaitwa East African MotoVehicles .....hii ikatae kabisa isifanye ukaguzi wa gari lako pesa yako watakula na hakuna ukaguzi wowote wa maana watakaoufanya na once gari ukishalipata utashangaa linaanza kukusumbua. Toyota ractis ukiweka oil feki kwenye gearbox ujiandae kununua gearbox mpya! haitaki oil isiyo yake, kingine ni kuwa mara kwa mara ABS sensor huwa zinakufa. Ikitokea hii tafuta fundi nguli wa umeme kama JituMirabaMinne au LEGE wakurekebishie uwekewe sensor zingine. Kingine nunua yenye fog light chini utaenjoy usiku utaona barabara vizuri.
Japo hizi gari zinavumilia shida but siyo usubiri mpaka ikorooooke ndiyo uipeleke gereji, pleaase penda gari lako! Kingine injini ikianza kusumbua usidanganyike kuwa eti ohh sijui ifanyiwe ovaul utaishiwa kuliwa hela na kamwe gari haitokupa matokeo mazuri injini kichoka nunua nyingine.
Kingine ukitoa spare ambayo ilikuja na gari usitupe maana siku ikitokea unahitaji badilisha utakuwa nayo kama sample itakayokusadia kupata spare nyingine kama iliyokuja au inayokaribiana iliyokuja na gari.
Gharama za utunzaji ni za kwaida kwa kutegemea unaweka vitu vya ubora upi na unanua wapi bei zipo hivi kutokea bei kubwa kuelekea bei ndogo duka la toyota Tanzania, Kisangani, Master card.
-Spark plug za kawaida kuna za 15,000, 20,000 na 40,000 so ni wewe uwezo wako chonde chochonde usidanganywe ukaweka vile viplug vifupi za ractis ni ndefu wanaziita za sindano au maplug feki ya kichina
-Gear box oil ya kwake origional ni around 140,000 mpaka 150,000 chondechonde usibugi ukaweka mioil isiyo na viwango utajuta, ukitaka hizi oil jipinde tu nenda Kisangani au Master card kanunue origional ya Toyota ractis kulingana na specification. Vinginevyo ukiweka mioil mingine jiandae gar kuwa slow, kutoingiza gear na mwishowe gear box kufa.
-Engine oil ni hizi za total around 55,000 au puma around 80,000.
-Fuel pump ya japani sio toyota 140,000 ukitaka denso 500,000 mpaka 700,000
-Air filter 10,000 ila origional yake ni 50,000-70,000
-Oil filter 10,000 mpaka 25,000.
-Air condition air cleaner 30,000 -60,0000
-Fuel filter 40,000-60,000.
Toyota ractis body lake siyo gumu sana kama zilivyo toyota zingine so jihadhari ikikwama sehemu ihandle with care vinginevyo watu wataisukuma utatoka na utashangaa wamebonyeza body! vilevile vitu vyake vya ndani sio vya plastic ngumu so usishangae vitu kama ac vent kukatika vile viplastic vyake.
Kuwa makini kuna ractis zenye gearbox za cvt achana nazo itakusumbua urudi kuanzisha thread humu!
Ukinunua weka spacer liinuke kidogo ili lisiguse chini kwenye mashimo na matuta ya barabarani
Karibu sana kwenye ulimwengu wa ractis utaenjoy mimi nimewahi kuliabuse sana lakini dah lipo tu kuna kipindi sikuwa naangalia coolant mara kwa mara kwa kuwa najua nimeweka coolant nzuri za castrol doh kumbe buana radiator tank pale juu imepasuka, basi ikawa coolant baada ya muda kidogo tu zinaisha na ikiwekwa sometime zinachemka ka maji ya ugali nikampelekea fundi mmoja mzuri tu yupo mikocheni near kairuki hospital naye hola, ni mpaka baadae baada ya kusomasoma kwenye internet ndo nikagundua kumbe plastic tank imekreki dah but muda wote huo gari imevumilia tu mara nyingi ile red light ya temperature ishawakaga sana tu, but nashukuru hakukuwa na madhara yaliyokuwa yametokea simpo tu nikanunua radiator tank na kuoverheat kukaisha.
Kwenye gear box napo nimewekaga mioil ya hovyo kama mara tatu hivi, dah baadae kuja kusoma kwenye internet ndo nikajua oilsahihi but nilikuwa na bahati gear box haikufa.
-Engine oil ni hizi za total around 55,000 au puma around 80,000.
-Fuel pump ya japani sio toyota 140,000 ukitaka denso 500,000 mpaka 700,000
-Air filter 10,000 ila origional yake ni 50,000-70,000
-Oil filter 10,000 mpaka 25,000.
-Air condition air cleaner 30,000 -60,0000
-Fuel filter 40,000-60,000.
KiongoziHabari zenu wakuu?
Naomba kujua uimara wa Toyota Ractis wa wanaofahamu au waliowahi kuitumia.
Hongera Mkuu Kwa mtiririko wa ukweli....Toyota Ractis ni gari zuri tu actually ni jamii moja na akina belta, ist, vitz. Vilevile lina space kubwa ndani na hata dashboard yake imekaa vizuri na ulaji wa mafuta uko vizuri. Hizi gar ni new model ya Funcargo. Yako ya cc 1300 na 1500 na mengi yana injini za VVTI injini ambazo mafundi wengi wa kibongo wanamudu kirahisi kuzitengeneza na vilevile zimeprove kibongobongo kuwa ni nzuri. Yapo ya 2WD na 4WD.
Ushauri wangu ni kuwa tafuta ractis yenye kilometer zisizozidi 50,0000 na kama utaagizia toka japan nunua toka makampuni ya autorec, cardeal, na japanesevehicles.com/trust. vilevile sisitiza kampuni za ukaguzi kama JEVIC kuna moja inaitwa East African MotoVehicles .....hii ikatae kabisa isifanye ukaguzi wa gari lako pesa yako watakula na hakuna ukaguzi wowote wa maana watakaoufanya na once gari ukishalipata utashangaa linaanza kukusumbua. Toyota ractis ukiweka oil feki kwenye gearbox ujiandae kununua gearbox mpya! haitaki oil isiyo yake, kingine ni kuwa mara kwa mara ABS sensor huwa zinakufa. Ikitokea hii tafuta fundi nguli wa umeme kama JituMirabaMinne au LEGE wakurekebishie uwekewe sensor zingine. Kingine nunua yenye fog light chini utaenjoy usiku utaona barabara vizuri.
Japo hizi gari zinavumilia shida but siyo usubiri mpaka ikorooooke ndiyo uipeleke gereji, pleaase penda gari lako! Kingine injini ikianza kusumbua usidanganyike kuwa eti ohh sijui ifanyiwe ovaul utaishiwa kuliwa hela na kamwe gari haitokupa matokeo mazuri injini kichoka nunua nyingine.
Kingine ukitoa spare ambayo ilikuja na gari usitupe maana siku ikitokea unahitaji badilisha utakuwa nayo kama sample itakayokusadia kupata spare nyingine kama iliyokuja au inayokaribiana iliyokuja na gari.
Gharama za utunzaji ni za kwaida kwa kutegemea unaweka vitu vya ubora upi na unanua wapi bei zipo hivi kutokea bei kubwa kuelekea bei ndogo duka la toyota Tanzania, Kisangani, Master card.
-Spark plug za kawaida kuna za 15,000, 20,000 na 40,000 so ni wewe uwezo wako chonde chochonde usidanganywe ukaweka vile viplug vifupi za ractis ni ndefu wanaziita za sindano au maplug feki ya kichina
-Gear box oil ya kwake origional ni around 140,000 mpaka 150,000 chondechonde usibugi ukaweka mioil isiyo na viwango utajuta, ukitaka hizi oil jipinde tu nenda Kisangani au Master card kanunue origional ya Toyota ractis kulingana na specification. Vinginevyo ukiweka mioil mingine jiandae gar kuwa slow, kutoingiza gear na mwishowe gear box kufa.
-Engine oil ni hizi za total around 55,000 au puma around 80,000.
-Fuel pump ya japani sio toyota 140,000 ukitaka denso 500,000 mpaka 700,000
-Air filter 10,000 ila origional yake ni 50,000-70,000
-Oil filter 10,000 mpaka 25,000.
-Air condition air cleaner 30,000 -60,0000
-Fuel filter 40,000-60,000.
Toyota ractis body lake siyo gumu sana kama zilivyo toyota zingine so jihadhari ikikwama sehemu ihandle with care vinginevyo watu wataisukuma utatoka na utashangaa wamebonyeza body! vilevile vitu vyake vya ndani sio vya plastic ngumu so usishangae vitu kama ac vent kukatika vile viplastic vyake.
Kuwa makini kuna ractis zenye gearbox za cvt achana nazo itakusumbua urudi kuanzisha thread humu!
Ukinunua weka spacer liinuke kidogo ili lisiguse chini kwenye mashimo na matuta ya barabarani
Karibu sana kwenye ulimwengu wa ractis utaenjoy mimi nimewahi kuliabuse sana lakini dah lipo tu kuna kipindi sikuwa naangalia coolant mara kwa mara kwa kuwa najua nimeweka coolant nzuri za castrol doh kumbe buana radiator tank pale juu imepasuka, basi ikawa coolant baada ya muda kidogo tu zinaisha na ikiwekwa sometime zinachemka ka maji ya ugali nikampelekea fundi mmoja mzuri tu yupo mikocheni near kairuki hospital naye hola, ni mpaka baadae baada ya kusomasoma kwenye internet ndo nikagundua kumbe plastic tank imekreki dah but muda wote huo gari imevumilia tu mara nyingi ile red light ya temperature ishawakaga sana tu, but nashukuru hakukuwa na madhara yaliyokuwa yametokea simpo tu nikanunua radiator tank na kuoverheat kukaisha.
Kwenye gear box napo nimewekaga mioil ya hovyo kama mara tatu hivi, dah baadae kuja kusoma kwenye internet ndo nikajua oilsahihi but nilikuwa na bahati gear box haikufa.
CVT ni future ya gearbox. Gari nyingi zinahamia huko na toyota sasa wanajikita huko. Tusiikimbie future tujifunze tuifahamu. Maelezo mazuri umempa.Toyota Ractis ni gari zuri tu actually ni jamii moja na akina belta, ist, vitz. Vilevile lina space kubwa ndani na hata dashboard yake imekaa vizuri na ulaji wa mafuta uko vizuri. Hizi gar ni new model ya Funcargo. Yako ya cc 1300 na 1500 na mengi yana injini za VVTI injini ambazo mafundi wengi wa kibongo wanamudu kirahisi kuzitengeneza na vilevile zimeprove kibongobongo kuwa ni nzuri. Yapo ya 2WD na 4WD.
Ushauri wangu ni kuwa tafuta ractis yenye kilometer zisizozidi 50,0000 na kama utaagizia toka japan nunua toka makampuni ya autorec, cardeal, na japanesevehicles.com/trust. vilevile sisitiza kampuni za ukaguzi kama JEVIC kuna moja inaitwa East African MotoVehicles .....hii ikatae kabisa isifanye ukaguzi wa gari lako pesa yako watakula na hakuna ukaguzi wowote wa maana watakaoufanya na once gari ukishalipata utashangaa linaanza kukusumbua. Toyota ractis ukiweka oil feki kwenye gearbox ujiandae kununua gearbox mpya! haitaki oil isiyo yake, kingine ni kuwa mara kwa mara ABS sensor huwa zinakufa. Ikitokea hii tafuta fundi nguli wa umeme kama JituMirabaMinne au LEGE wakurekebishie uwekewe sensor zingine. Kingine nunua yenye fog light chini utaenjoy usiku utaona barabara vizuri.
Japo hizi gari zinavumilia shida but siyo usubiri mpaka ikorooooke ndiyo uipeleke gereji, pleaase penda gari lako! Kingine injini ikianza kusumbua usidanganyike kuwa eti ohh sijui ifanyiwe ovaul utaishiwa kuliwa hela na kamwe gari haitokupa matokeo mazuri injini kichoka nunua nyingine.
Kingine ukitoa spare ambayo ilikuja na gari usitupe maana siku ikitokea unahitaji badilisha utakuwa nayo kama sample itakayokusadia kupata spare nyingine kama iliyokuja au inayokaribiana iliyokuja na gari.
Gharama za utunzaji ni za kwaida kwa kutegemea unaweka vitu vya ubora upi na unanua wapi bei zipo hivi kutokea bei kubwa kuelekea bei ndogo duka la toyota Tanzania, Kisangani, Master card.
-Spark plug za kawaida kuna za 15,000, 20,000 na 40,000 so ni wewe uwezo wako chonde chochonde usidanganywe ukaweka vile viplug vifupi za ractis ni ndefu wanaziita za sindano au maplug feki ya kichina
-Gear box oil ya kwake origional ni around 140,000 mpaka 150,000 chondechonde usibugi ukaweka mioil isiyo na viwango utajuta, ukitaka hizi oil jipinde tu nenda Kisangani au Master card kanunue origional ya Toyota ractis kulingana na specification. Vinginevyo ukiweka mioil mingine jiandae gar kuwa slow, kutoingiza gear na mwishowe gear box kufa.
-Engine oil ni hizi za total around 55,000 au puma around 80,000.
-Fuel pump ya japani sio toyota 140,000 ukitaka denso 500,000 mpaka 700,000
-Air filter 10,000 ila origional yake ni 50,000-70,000
-Oil filter 10,000 mpaka 25,000.
-Air condition air cleaner 30,000 -60,0000
-Fuel filter 40,000-60,000.
Toyota ractis body lake siyo gumu sana kama zilivyo toyota zingine so jihadhari ikikwama sehemu ihandle with care vinginevyo watu wataisukuma utatoka na utashangaa wamebonyeza body! vilevile vitu vyake vya ndani sio vya plastic ngumu so usishangae vitu kama ac vent kukatika vile viplastic vyake.
Kuwa makini kuna ractis zenye gearbox za cvt achana nazo itakusumbua urudi kuanzisha thread humu!
Ukinunua weka spacer liinuke kidogo ili lisiguse chini kwenye mashimo na matuta ya barabarani
Karibu sana kwenye ulimwengu wa ractis utaenjoy mimi nimewahi kuliabuse sana lakini dah lipo tu kuna kipindi sikuwa naangalia coolant mara kwa mara kwa kuwa najua nimeweka coolant nzuri za castrol doh kumbe buana radiator tank pale juu imepasuka, basi ikawa coolant baada ya muda kidogo tu zinaisha na ikiwekwa sometime zinachemka ka maji ya ugali nikampelekea fundi mmoja mzuri tu yupo mikocheni near kairuki hospital naye hola, ni mpaka baadae baada ya kusomasoma kwenye internet ndo nikagundua kumbe plastic tank imekreki dah but muda wote huo gari imevumilia tu mara nyingi ile red light ya temperature ishawakaga sana tu, but nashukuru hakukuwa na madhara yaliyokuwa yametokea simpo tu nikanunua radiator tank na kuoverheat kukaisha.
Kwenye gear box napo nimewekaga mioil ya hovyo kama mara tatu hivi, dah baadae kuja kusoma kwenye internet ndo nikajua oilsahihi but nilikuwa na bahati gear box haikufa.
Extrovert hizi bei za spare parts za Toyota unaziona au umefumba macho?
kwa uzoef wangu hazipishan sana kwenye kuvumilia shida, ila ractis ina nafasi kwa ndani kuliko ist so kama mara kwa mara unabeba watu kwa mfano wanne na vimizigo vidogo kwa nyuma utaenjoy zaidi na gari haitochoka sana ukilinganisha na ist maana ist ukibeba watu haohao na vimizigo hivyohivyo kwenye ist ina maana watabanana so hakutokuwa na comfortability kama ilivyo kwenye ractis but tofauti siyo kubwa saana. Kwenye barabara mbovu jiandae kuservice sehemu za mbele tunaitaga miguu ya mbele mara kwa mara!!! yaani hapo, stablizer link, mabushi, cv joints, na vitu vingine but ni kawaida uzuri wa toyota hata kama kipato kipo kidogo mara nyingi utapata spare ya hela kidogo (ya kukusogeza sio kudumu) then ukikaa sawa unaweka spare ya uhakika!!!Shukrani mkuu.
Hivi kati ya ractis na ist ipi ndiyo inavumilia shida zaidi?
Kama barabara mbovu na changamoto nyingine nyingine?
SalutToyota Ractis ni gari zuri tu actually ni jamii moja na akina belta, ist, vitz. Vilevile lina space kubwa ndani na hata dashboard yake imekaa vizuri na ulaji wa mafuta uko vizuri. Hizi gar ni new model ya Funcargo. Yako ya cc 1300 na 1500 na mengi yana injini za VVTI injini ambazo mafundi wengi wa kibongo wanamudu kirahisi kuzitengeneza na vilevile zimeprove kibongobongo kuwa ni nzuri. Yapo ya 2WD na 4WD.
Ushauri wangu ni kuwa tafuta ractis yenye kilometer zisizozidi 50,0000 na kama utaagizia toka japan nunua toka makampuni ya autorec, cardeal, na japanesevehicles.com/trust. vilevile sisitiza kampuni za ukaguzi kama JEVIC kuna moja inaitwa East African MotoVehicles .....hii ikatae kabisa isifanye ukaguzi wa gari lako pesa yako watakula na hakuna ukaguzi wowote wa maana watakaoufanya na once gari ukishalipata utashangaa linaanza kukusumbua. Toyota ractis ukiweka oil feki kwenye gearbox ujiandae kununua gearbox mpya! haitaki oil isiyo yake, kingine ni kuwa mara kwa mara ABS sensor huwa zinakufa. Ikitokea hii tafuta fundi nguli wa umeme kama JituMirabaMinne au LEGE wakurekebishie uwekewe sensor zingine. Kingine nunua yenye fog light chini utaenjoy usiku utaona barabara vizuri.
Japo hizi gari zinavumilia shida but siyo usubiri mpaka ikorooooke ndiyo uipeleke gereji, pleaase penda gari lako! Kingine injini ikianza kusumbua usidanganyike kuwa eti ohh sijui ifanyiwe ovaul utaishiwa kuliwa hela na kamwe gari haitokupa matokeo mazuri injini kichoka nunua nyingine.
Kingine ukitoa spare ambayo ilikuja na gari usitupe maana siku ikitokea unahitaji badilisha utakuwa nayo kama sample itakayokusadia kupata spare nyingine kama iliyokuja au inayokaribiana iliyokuja na gari.
Gharama za utunzaji ni za kwaida kwa kutegemea unaweka vitu vya ubora upi na unanua wapi bei zipo hivi kutokea bei kubwa kuelekea bei ndogo duka la toyota Tanzania, Kisangani, Master card.
-Spark plug za kawaida kuna za 15,000, 20,000 na 40,000 so ni wewe uwezo wako chonde chochonde usidanganywe ukaweka vile viplug vifupi za ractis ni ndefu wanaziita za sindano au maplug feki ya kichina
-Gear box oil ya kwake origional ni around 140,000 mpaka 150,000 chondechonde usibugi ukaweka mioil isiyo na viwango utajuta, ukitaka hizi oil jipinde tu nenda Kisangani au Master card kanunue origional ya Toyota ractis kulingana na specification. Vinginevyo ukiweka mioil mingine jiandae gar kuwa slow, kutoingiza gear na mwishowe gear box kufa.
-Engine oil ni hizi za total around 55,000 au puma around 80,000.
-Fuel pump ya japani sio toyota 140,000 ukitaka denso 500,000 mpaka 700,000
-Air filter 10,000 ila origional yake ni 50,000-70,000
-Oil filter 10,000 mpaka 25,000.
-Air condition air cleaner 30,000 -60,0000
-Fuel filter 40,000-60,000.
Toyota ractis body lake siyo gumu sana kama zilivyo toyota zingine so jihadhari ikikwama sehemu ihandle with care vinginevyo watu wataisukuma utatoka na utashangaa wamebonyeza body! vilevile vitu vyake vya ndani sio vya plastic ngumu so usishangae vitu kama ac vent kukatika vile viplastic vyake.
Kuwa makini kuna ractis zenye gearbox za cvt achana nazo itakusumbua urudi kuanzisha thread humu!
Ukinunua weka spacer liinuke kidogo ili lisiguse chini kwenye mashimo na matuta ya barabarani
Karibu sana kwenye ulimwengu wa ractis utaenjoy mimi nimewahi kuliabuse sana lakini dah lipo tu kuna kipindi sikuwa naangalia coolant mara kwa mara kwa kuwa najua nimeweka coolant nzuri za castrol doh kumbe buana radiator tank pale juu imepasuka, basi ikawa coolant baada ya muda kidogo tu zinaisha na ikiwekwa sometime zinachemka ka maji ya ugali nikampelekea fundi mmoja mzuri tu yupo mikocheni near kairuki hospital naye hola, ni mpaka baadae baada ya kusomasoma kwenye internet ndo nikagundua kumbe plastic tank imekreki dah but muda wote huo gari imevumilia tu mara nyingi ile red light ya temperature ishawakaga sana tu, but nashukuru hakukuwa na madhara yaliyokuwa yametokea simpo tu nikanunua radiator tank na kuoverheat kukaisha.
Kwenye gear box napo nimewekaga mioil ya hovyo kama mara tatu hivi, dah baadae kuja kusoma kwenye internet ndo nikajua oilsahihi but nilikuwa na bahati gear box haikufa.
Naziona mzee baba