KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Habari zenu wakuu...!
Natumai mnaendelea vyema kabisa wadau nna shida ya kujuzwa upatikanaji wa mashine za kutengeneza maboksi pamoja na ku-print wakuu.
Kama kuna yoyote mwenye kufaham hizi mashine naweza kupata wapi aidha kama ni hapa nchini au hata kama ni kuagiza abroad naomba kufahamishwa wapi naweza kupata.
Na pia kama kuna yoyote mwenye kuzifaham vizuri akanipa ushauri ni mashine za nchi gani ni nzuri kwenye ufanisi na je uagizaji upo vipi au kama kuna website yoyote labda kama ipo ningeomba kufahamishwa wakuu.
Natanguliza shukran kwa wote mtakaotoa mchango wenu na ushauri wenu pia ntauzingatia wakuu, THANKS.