Naomba kujuzwa upatikanaji wa mashine za kutengeneza maboksi na kuprint

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,235
Reaction score
5,854
Habari zenu wakuu...!

Natumai mnaendelea vyema kabisa wadau nna shida ya kujuzwa upatikanaji wa mashine za kutengeneza maboksi pamoja na ku-print wakuu.

Kama kuna yoyote mwenye kufaham hizi mashine naweza kupata wapi aidha kama ni hapa nchini au hata kama ni kuagiza abroad naomba kufahamishwa wapi naweza kupata.

Na pia kama kuna yoyote mwenye kuzifaham vizuri akanipa ushauri ni mashine za nchi gani ni nzuri kwenye ufanisi na je uagizaji upo vipi au kama kuna website yoyote labda kama ipo ningeomba kufahamishwa wakuu.

Natanguliza shukran kwa wote mtakaotoa mchango wenu na ushauri wenu pia ntauzingatia wakuu, THANKS.
 
mtimkav njoo tafadhali. Kazi yako inatajwa huku
 
Last edited by a moderator:
Nenda Alibaba au Amazon au Aliexpress to mention but few watakuletea mpaka mlangoni.
 
Nenda Alibaba au Amazon au Aliexpress to mention but few watakuletea mpaka mlangoni.

Ni kweli mkuu nimejaribu ku-google nimepata companies na websites tofauti tofauti ndio najaribu kupitia pitia hapa nione kipi kilicho bora kiongozi.............thanks kwa mchango wako pia mkuu nashkuru sana kiongozi.

Box Making Machine | Google

Na pia nimepata videos tofauti tofauti toka YOU TUBE ndio naendelea kupitia pitia pia.............nashkuru sana wadau kwa michango yenu na ushirikiano kwa ujumla,SO THANKS.

Box Making Machine | You Tube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…