Naomba kujuzwa ushuru wa kuingiza Trekta

Naomba kujuzwa ushuru wa kuingiza Trekta

Varbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,121
Reaction score
885
Wadau naomba mnisaidie kujua gharama za kuingiza Trekta. Bei yake huko lilipo ni kiasi cha milioni 30 tsh.. nimeangalia kwenye kikokotozi cha TRA. Hakuna sehem unaweza kokotoa hii ni picha ya trekta lenyewe na model yake
Adjustments.jpg
 
Wadau naomba mnisaidie kujua gharama za kuingiza trekta. Bei yake huko lilipo ni kiasi cha milioni 30 tsh.. nimeangalia kwenye kikokotozi cha TRA. Hakuna sehem unaweza kokotoa hii ni picha ya trekta lenyewe na model yakeView attachment 1482532
Trekta hilo huwezi kulipata kwa mil 30. Ukiweza basi niletee moja nitakupa 50M. Hakuna ushuru kwa zana za kilimo.
 
Back
Top Bottom