Naomba kujuzwa utaratibu wa kuendesha ofisi ya Welding na Seremala

Naomba kujuzwa utaratibu wa kuendesha ofisi ya Welding na Seremala

Jizo33

New Member
Joined
Aug 8, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Naomba kujua utaratibu wa kuendesha ofisi ya welding na seremala kama boss si fundi wa hizo fani,jinsi ya kuwalipa welders na mafund wengne.

(NB mashine na vifaa vingne vyote vya boss)
 
Inapendeza kama ukiwa na ujuz wa vyote au kimoja wapo nd itakua rahis kuendesha izo biashara
 
Back
Top Bottom