Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata Mkopo wa kilimo kutoka benki ya NMB

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Mimi ni mkulima mdogo na ni mfugaji mdogo wa mifugo na nyuki.

Nimepata tetesi kuwabenki ya NMB imeanza mpango wa kutoa mkopo kwa wakulima.

Nomba utaratibu, maelekezo na ufafanuzi upo na unavyopatikana.
 
Nasubiria watu kutirika ila binasi nshawahi kuwauliza yani wao hawatoi ila benki ya kilimo inafanya kazi na NMB hivyo TADB ndo inafanya kuhakiki kama mkulima huyu/yule amekidhi vigezo vya kukopeshwa na ndipo kupitia TADB utapata mkopo wako NMB
 
Nakushukuru.
Ngoja tuwasubiri.
 
Back
Top Bottom