Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata VFD/API kutoka TRA

sele255

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
205
Reaction score
262
Habari wakuu,

Kwa yeyote anayefahamu utaratibu wa kupata VFD/API kutoka tra kwa ajili ya kutoa risiti naomba anijulishe kwa vile nimejaribu kuangalia kwenye tovuti yao sijaona utaratibu.

1.Vigezo vya kupata VFD
2.Documentation (ndio muhimu zaidi)

Anayefahamu naomba nipate utaratibu.
 
Upo mkoa gani?
Nimekucheki Inbox.
 
Nenda TRA Makao makuu. Kila kitu utamaliza hapo!
 
Naitafutaga sana hii kitu ila sijafanikiwa. Alowahi kupata aweke mwongozo tafadhali
 
Mkuu wengi tunashida ya hii kitu unaonaje ukiweka mwongozo hapa pia ili kutusaidia wengine
karibu sana, mwongozo ni kama ifuatavyo...

utaratibu wa kujiunga ni kupitiakwa makampuni yaliyoidhinishwa kufanya huduma hii kama sisis Dirm VFD nk.

Document zinazotakiwa ni
-Copy ya TIN
-copy ya KITAMBULISHO
-COPY YA BARUA YA MAOMBI KWENDA TRA (kuna template yake unapewa au kama hauwezi basi unatuma vitukama sahihi yake, na taarifa zako ili ziambatanishwe kwenye hiyo barua)

baada ya hapo unasubiri majibu kutoka TRA ikiwa hauna deni au changamoto yeyete basi inakuwa approved ndani ya siku mbii tu au tatu inatokana na kuwahi au kuchelewa kwa TRA.
KAMA KUNA SWALI AU UNAHITAJI MAELEO ZAIDI ULIZA HAPA AU NICHEK 0753688348
 
Hii kitu haipo available tena kwa kila mtu
Hii ni moja ya quoted email message kutoka TRA officials
Talking about VFD distributors, we advertised for Tender on February 2022 and now it is on evaluation stage. We have currently closed the window for new testings pending the tendering process
 
Hii kitu haipo available tena kwa kila mtu
Hii ni moja ya quoted email message kutoka TRA officials
hii ni kama hanataka kuwa provider, yaan kuuza huduma hii kama mimi, lakini kwa mtumiji inafanya kazi kama kawaida.
 
karibu sana, mwongozo ni kama ifuatavyo...

utaratibu wa kujiunga ni kupitiakwa makampuni yaliyoidhinishwa kufanya huduma hii kama sisis Dirm VFD nk.

Document zinazotakiwa ni
-Copy ya TIN
-copy ya KITAMBULISHO
-COPY YA BARUA YA MAOMBI KWENDA TRA (kuna template yake unapewa au kama hauwezi basi unatuma vitukama sahihi yake, na taarifa zako ili ziambatanishwe kwenye hiyo barua)

baada ya hapo unasubiri majibu kutoka TRA ikiwa hauna deni au changamoto yeyete basi inakuwa approved ndani ya siku mbii tu au tatu inatokana na kuwahi au kuchelewa kwa TRA.
KAMA KUNA SWALI AU UNAHITAJI MAELEO ZAIDI ULIZA HAPA AU NICHEK 0753688348
Ahsante
 
Back
Top Bottom