Naomba kujuzwa utofauti kati ya neno 'Mwizi', 'Jambazi' na 'Kibaka'

ichumu lya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
2,651
Reaction score
2,790
Naomba kujua tofauti ya makundi aya[emoji115]

Nimekuwa na jiuliza ivi ukiambiwa uyu ni MWIZI, uyu ni JAMBAZI na uyu ni KIBAKA
uwa unaelewaje?
 
Mwizi..anatumia silaha nyepesi mfn. Nondo. Kisu ila hapendi macho ya watu
jambazi anatumia silaha kubwa mfn bunduki na haogopi macho ya watu
kibaka anatumia chochote kilichopo jirani hasahasa ngumi. Mtama. Roba. Jiwe. Panga
 
Sawa. Wanapotenda makosa wakishitakiwa uhukumiwa kulingana na kundi husika au in general?
 
Back
Top Bottom