Naomba kujuzwa utofauti wa futi na sqm katika upimaji wa viwanja

Naomba kujuzwa utofauti wa futi na sqm katika upimaji wa viwanja

boy 1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
414
Reaction score
395
Naomba kueleweshwa hapa ipi tofauti ya futi na sqm pale mtu anapokupimia eneo(kiwanja).

Mfano ukiambiwa eneo hili Lina ukubwa wa futi 60 kwa 60 ni sawa na sqm ngapi?

Mimi nimeshazoea sqm 400 najua ni 20 kwa 20 sasa haya Mambo ya futi 60 kwa 60 ni sawa na sqm ngapi?
 
Mita 1 ni sawa fa futi 3.3 haya anzia hapo kugeuza hizo futi 60 kwa 60 kuwa mita alafu utafute ni Square mita ngapi
Hapo sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe kwenye futi wanatupiga
 
Mwenye jibu sahihi la mwisho atupe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanawatajia futi ili muone eneo kubwa mlizwe..

Mita 1 ni km futi 3⅓ hv
 
Kwa mujibu wa swali lako, jibu ni hili futi ni kipimo cha urefu na sqm(square meter) ni kipimo cha eneo kwa meter.

Ili tufahamu lazima tujue ulingano wake katika urefu ambapo mita moja ni futi 3.3333...

Hivyo sqft zitaonekana ni nyingi katika eneo dogo.

Wajanja katika biashara wamatangazia futi.
 
Naomba kueleweshwa hapa ipi tofauti ya futi na sqm pale mtu anapokupimia eneo(kiwanja).

Mfano ukiambiwa eneo hili Lina ukubwa wa futi 60 kwa 60 ni sawa na sqm ngapi?

Mimi nimeshazoea sqm 400 najua ni 20 kwa 20 sasa haya Mambo ya futi 60 kwa 60 ni sawa na sqm ngapi?
Mimi ushauri wangu ni huu..

Hakikisha watoto wako wanasoma hesabu hata kwa lazima.
 
Mimi sina ushauri wangu ni huu..

Hakikisha watoto wako wanasoma hesabu hata kwa lazima.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nitawalizishaje wakati mm mwenyewe nilikuwa sizipendi ? Sasa kiongozi si ungemaliza jibu la ujumla tumalize kazi kiongozi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom