Umemaliza mahesabu hayo mkuu hapo juu.Hapo sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe kwenye futi wanatupiga
Mimi ushauri wangu ni huu..Naomba kueleweshwa hapa ipi tofauti ya futi na sqm pale mtu anapokupimia eneo(kiwanja).
Mfano ukiambiwa eneo hili Lina ukubwa wa futi 60 kwa 60 ni sawa na sqm ngapi?
Mimi nimeshazoea sqm 400 najua ni 20 kwa 20 sasa haya Mambo ya futi 60 kwa 60 ni sawa na sqm ngapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nitawalizishaje wakati mm mwenyewe nilikuwa sizipendi ? Sasa kiongozi si ungemaliza jibu la ujumla tumalize kazi kiongozi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi sina ushauri wangu ni huu..
Hakikisha watoto wako wanasoma hesabu hata kwa lazima.