Habari wadau
Ninaomba mwenye kujua uwanja wa kuchezea mpira maeneo ya mbezi africana 'ambao upo active' watu wanakipiga kila siku jioni. Mimi ni mgeni huku, na ni mdau wa soka. Nina mpango wa kuhamia huko hivi karibuni. Msaada wenu tafadhali. Shukrani zangu!