Chemsha majani ya mparachichi kunywa yanaongeza damu haraka sana,mchemsho wa tembele kila mlo,chukua tende toa mbegu zisage pamoja na maziwa fresh kunywa angalau usage tende nne na maziwa robo Lita kwa siku.
Nunua beet root saga kwenye kikwangulio Cha karoti Kama huna blenda changanya na juice ya chungwa kunywa,kunywa maji zaidi ya Lita tatu kwa siku.Sio lazima ufanye yote fanya vinavyopatikana kwa mazingira yako, damu isipoongezeka nenda kaombewe.