Naomba kujuzwa vyuo vimavyotoa elimu kwa njia ya masafa

Naomba kujuzwa vyuo vimavyotoa elimu kwa njia ya masafa

Benard kombe

Senior Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
139
Reaction score
41
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza naomba kufahamishwa vyuo vinavyotoa elimu kwa njia ya masafa (distancelearning/onlinelearning) kwa hapa tanzania course yoyote.
NATANGULIZA SHUKRANI
 
Back
Top Bottom