NAOMBA KUJUZWA WAKUU.

pastor muyamba

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
252
Reaction score
135
Baada ya kujamiana na MTU mwenye magonjwa ya ngono unachukua muda
Gani dalili kuonekana kwenye uume?
Maana duu,
Msaada wenu ni muhimu wajuzi
Muwe na asubuhi njema
 
Naona mambo yame cotton fire...acha kusubiri dalili nenda ukapime,

Kama ni me hicho kipenseli ujue wapi kwenda kukichorea, vinginevyo kitavunjika siku si mingi.
 
Baada ya kujamiana na MTU mwenye magonjwa ya ngono unachukua muda
Gani dalili kuonekana kwenye uume?
Maana duu,
Msaada wenu ni muhimu wajuzi
Muwe na asubuhi njema

Inategemea na gonjwa lenyewe.

Kaswende/ syphilis ni siku kama 20 hivi.

Kisonono/ gonorrhea ni siku mbili tatu hivi.

Chlamydia ni wiki mbili au tatu.
 
Ulijua kabisa huyo uliyejamiiana nae ni mgonjwa halafu unajipeleka!
Si ungepiga nyeto tu...!
 
Unaongelea ugonjwa gani? Kuna HIV, Kaswende, Kisonono, Gono n.k yote hayo yana dalili zake zenye muda tofauti kabla ya kujitokeza. Inategemea wewe una dalili zipi.
 
Baada ya kujamiana na MTU mwenye magonjwa ya ngono unachukua muda
Gani dalili kuonekana kwenye uume?
Maana duu,
Msaada wenu ni muhimu wajuzi
Muwe na asubuhi njema
Mpaka hapo pole sana japo hautaki kuwa wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…