Naomba kujuzwa wastani wa gharama za upauaji kwa fundi

Upo kijiji gani hapa shinyanga?

Kwa vijijini hadi miji midogo haizidi laki 7 na chakula wanajitegemea.

Cheap labour ni mafundi.... yaani Mimi nimeezeka nyumna ya namna hiyo bati kama 100 hivi kwa laki 5 tu.
 
Kumbe hakuna tofauti na Mjini. Nimeazeka Bati 300+ kwa 1.7M
 
Back
Top Bottom