Naomba kujuzwa wastani wa gharama za upauaji kwa fundi

Naomba kujua ghrama za kupaua nyumba yenye vyumba vitatu, dining, sebule, jiko, stoo na vyoo vitatu. Naomba kujua wastan wa gharam za ufundi..
Nyumba yako ni vipimo vya ngapi kwa ngapi?
 
KAwaida ni m1 hadi 1.5
Bei kubwa M1. 5 had M2+
Naomba kujua ghrama za kupaua nyumba yenye vyumba vitatu, dining, sebule, jiko, stoo na vyoo vitatu. Naomba kujua wastan wa gharam za ufundi..
 
Upo kijiji gani hapa shinyanga?

Kwa vijijini hadi miji midogo haizidi laki 7 na chakula wanajitegemea.

Cheap labour ni mafundi.... yaani Mimi nimeezeka nyumna ya namna hiyo bati kama 100 hivi kwa laki 5 tu.
 
Kumbe hakuna tofauti na Mjini. Nimeazeka Bati 300+ kwa 1.7M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…