Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh kweli hii noumaWanapangiwa kama kawa, kuna dada mmoja alimaliza Udom mwaka juzi yupo shule ya kata, analipwa kama walimu wengine!
Kwa mwaka jana walipangiwa vituo kama kawa, maana taarifa zao huwa zinatumwa pamoja na wahitimu wa shahada za ualimu sasa ni jukumu la wizara kuwapa kazi au la.
shukrani nmekupata mkuu..PGDE DUCE imeanza march 2013,itaisha march 2014 in-take ya kwanza. Intake ya pili walianza november 2013,watamaliza mwezi wa sita 2014,kwa mujibu wa Uongozi wa Chuo, in-take zote hizi mbili watagraduate november 2014,na majina ya watakaopenda kwenda serikalini majina yao yataambatanishwa pamoja na ya undergraduate, B.Ed arts,science, B.A/B.Sc educ kwa ajira 2014/2015.
KWA HAKIKA WANAAJIRIWA KAMA WALIMU WENGINE.hivyo ilivyo kama PGDE Main campus UDSM ambao wanaajiriwa kila mwaka.