malimi katoro
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 358
- 153
Husika na kichwa cha habari hapo juu,mimi ni mhitimu wa diploma ya sheria niko mkoa wa lindi , napenda kupewa taarifa kwa mwenyekujua mahara zilipo ofisi za chuo kikuu huria kwa mkoa wa lindi kwani ninampango wa kujiendeleza kielimu kwa kuchukua shahada ya sheria,ahsante!