Naomba kujuzwa zaidi bandungu

malimi katoro

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2015
Posts
358
Reaction score
153
Husika na kichwa cha habari hapo juu,mimi ni mhitimu wa diploma ya sheria niko mkoa wa lindi , napenda kupewa taarifa kwa mwenyekujua mahara zilipo ofisi za chuo kikuu huria kwa mkoa wa lindi kwani ninampango wa kujiendeleza kielimu kwa kuchukua shahada ya sheria,ahsante!
 

Ngoja waje wadau watoe maelekezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…