Si gari rafiki kwako kama unaishi Njombe...Ndio hi hii aisee asante sana broo kodi shi ngapi hapo.
121.
Mimi nikushauri ndugu yangu mwana njombe mwenzio.
Mimi ni mwangimbudzi wa hapo hapo njombe ni fundi nipo kwenye anga hizi zaidi ya 10yrs. Hebu badili wazo lako hilo tafuta au nunua aina nyingine ya gari shida ya hizo gari ni spare na spare au ugonjwa wake mkubwa ni HV battery.
Na mpaka zinauzwa huko kwao zishakuwa majanga au zinaelekea kwenye umajanga ww utatembelea hata mwaka hautoisha itakuzingua au hata miaka miwili itakuzingua na mbaya zaidi sisi huko tunaziua sababu ya washa zima washa zima. Mtu ana washa gari mwenge anakwenda mliman city anazima amefika anakaa akitoka hapo anawasha gari anakwenda ubungo amefika safari yake.. atatoka hapo analudi mwenge hivyoo yaani vijisafari vifupi fupi na huwezi iacha kwa muda mrefu utasema mafuta yanakwisha.
Hizo gari hazitaki mambo hayoo.. kingine betri ikisha kwenda down mashine za kuchaji ni changamoto kidogo ingawa zipo chache hapa mjini na ugonjwa mwingine mkubwa ni motor ya maji. kuna motor ya maji ya kupooza inverter converter hiyo mara nyingi inakufa sababu wabongo tunaweka maji au coolant ya kawaida lakini kuna maji yake special yanakuwa kama mafuta flani hivi..garama ya betri unaweza nunua kavits kangine kamkononi.
Lege amemaliza kila kitu kwenye post namba 6....Kwann ebu nishauri
121.