Naomba kujuzwa zaidi kuhusu kozi ya Biomedical Engineering

Naomba kujuzwa zaidi kuhusu kozi ya Biomedical Engineering

Joined
Oct 31, 2017
Posts
64
Reaction score
32
Habarini Wana jamvi humu ndani.

Naomba kuuliza kwa wenye ufuhamu na uelewa zaidi wa hii gani ya Biomedical eng (vifaa tiba) hususani katika swala la àjira zake kwa sasa na badae,je serikali itaweza kuajiri wahitimu kulingana na idadi yao na ukitazama nature hii kozi huwezi fanya tofauti na hospitalini ama kwenye makampuni nayo ni machache?
 
Back
Top Bottom