Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Shukra sana mkuu kwa kutoa muongozo, Mungu akipenda nitaimiliki muda si mrefu.Mimi ninayo namba E Changamoto ya hzo gari ni COIL ikifa haichomi na gari inakua na mis na kutetemeka coil used moja ni elfu 80 na ikiqnza kufa moja utabadilisha zote...
Ni gari nzuri na ipo luxury sana ndani bila kusahau jspo ina 1790cc na 1900cc,but engine ya 1790cc inakula vizuri sana mafuta sababu ina option ya economicNimeziona hizi gari natamani kufahamu ubora na mapungufu yake. Ninahitaji gari ndogo kwa mizunguko ya town na safari za Dar Morogoro...
Mabampa si unabadilisha kama mashine ipo freshWish huwa inachakaa mapema hasa mabampa yanachoka vibaya Sana hii gari Kwa barabara zetu za mashimo ni shida Sana..
we nawe LiMin-Bus lanini kutembelea?Nataka niagize hii gari Wakuu. Ni vitu gani vya kuzingatia wakati wa uagizaji?
Siku zote kila mtu anavutiwa vitu ambavyo ww havikuvutii, hujui ni vipaumbele gani vilivyosababisha awe na chaguo hilo. Siku zote mshauri mtu changamoto za gari na faida zake na sio kuponda gari kisa ww hujavutiwa nayo.we nawe LiMin-Bus lanini kutembelea?
aaargh! Tafuta gar ambayo hata ukitoka somewhere parking ipo ya kutosha.
sasa wewew unaenda kazin upo kwenye gar peke yako mgar mrefu kama nini la kazi gan hilo li gari [emoji33] [emoji33] [emoji33]
BaaaasiNunua gar utembelee ikifa utanunua ingne iyo sio roho
Matumizi ya mafuta ni yale yale lita 1 per 12/15kolometa sabu iyo ni Toyota
Na ugumu akuna gar ngumu ni matunzo ndo ufanya gar kua durable gar yyte ile inaitaji matunzo na kufuata mashart
Nimekupata Mkuu. Ila lengo langu langu ni kuchukua family car with seating capacity of atleast 7packs. However, should also be fuels economy. Nipe best option mkuuwe nawe LiMin-Bus lanini kutembelea?
aaargh! Tafuta gar ambayo hata ukitoka somewhere parking ipo ya kutosha.
sasa wewew unaenda kazin upo kwenye gar peke yako mgar mrefu kama nini la kazi gan hilo li gari 😱 😱 😱
Sidhani kama anachaguo la kukupa zaidi ya chuki yake kwa hyo gari, wish ukiondoa changamoto ya kuwa chini ni gari nzuri sana inayobeba watu 7 na inakupa performance nzuri pamoja na inatumia mafuta vizuri sana hasa upate ya 1790L (1790 cc).Nimekupata Mkuu. Ila lengo langu langu ni kuchukua family car with seating capacity of atleast 7packs. However, should also be fuels economy. Nipe best option mkuu
Alitoa maoni yake tu Kiongozi. Kwa kuwa mimi sio mtaalam wa magari naomba kama itakupendeza unipe maelezo zaidi ya wish second generation (i.e. ni wish yenye sifa zipi) ili nisipigwe na supplier.Sidhani kama anachaguo la kukupa zaidi ya chuki yake kwa hyo gari, wish ukiondoa changamoto ya kuwa chini ni gari nzuri sana inayobeba watu 7 na inakupa performance nzuri pamoja na inatumia mafuta vizuri sana hasa upate ya 1790L (1790 cc).
Gari nyingine ni Toyota Sienta nayo inakupa siti 7 na matumizi mazuri ya mafuta. Wengi hawapendi ile milango yake ya kuburuza kama Raum, maana huwa inaleta changamoto ya kugoma kufunguka kama huifanyii service mara kwa mara, pia wengine hawapendi geji zake kuwa katikati kama Ist, Vitz, Raum, Rumio n.k
Toyota wish ya sec. Generation inakupa matumizi mazuri zaidi ya mafuta inafika mpaka 16km/l ikiwa haina mzigo.
Wish new inahita utunzaji wa body sana maana sio ngumu kama wish old.
Hiyo Wish new model sioHii gari nimeikubali sana as a compact mini van. Wadau mnaomiliki jazieni yama tufanye maamuzi sahihi