Naomba kujuzwa zilipo ofisi za TAESA jijini Dar es Salaam

Njid

New Member
Joined
May 4, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Nilpigiwa simu kuyoka Taesa walsema nifke ofsin kwaajl ya training, nilikua naomba niulze ili nijue hizo ofis zao zipo wap japa Dar es Salaam?
 
🤔Promotion thread

Yaani mpaka hapo MB zishatumika.

Sio hivyo tu, umepigiwa simu Ati ya kufanya Training-Unashindwaje, ama ulishindwaje kuomba maeleza kamili, kama Anwani ya TAESA. namba ya jengo, mtaa n.k

Najiuliza, mpaka unaitwa Training, ina maana ushaomba kazi? usaili? na uwezekano wa uwepo wa mawasiliano kati yako na TAESA ulikuwepo/Upo. Yaani umeshapigiwa na simu kabisa walakini umeshindwa kuulizia walipo....

Karibu JF. Ila sio kwa hizi Promo.
 
we nae sasa TAESA ni ya kupigia promo😂😂
 
  • Kicheko
Reactions: I M
🤔Promotion thread

Yaani mpaka hapo MB zishatumika.

Sio hivyo tu, umepigiwa simu Ati ya kufanya Training-Unashindwaje, ama ulishindwaje kuomba maeleza kamili, kama Anwani ya TAESA. namba ya jengo, mtaa n.k

Najiuliza, mpaka unaitwa Training, ina maana ushaomba kazi? usaili? na uwezekano wa uwepo wa mawasiliano kati yako na TAESA ulikuwepo/Upo. Yaani umeshapigiwa na simu kabisa walakini umeshindwa kuulizia walipo....

Karibu JF. Ila sio kwa hizi Promo.
..Nongwa Pro Max.
 
Acha hizo Njidi. Unajipigia promotion za ID mpya unaleta za kuleta😌.

Jibu hoja.
ningekutukana ila nimeona Id kongwe bila shaka utakua mzeee 😂

mtoto wa watu hata kazi hajapata hata uhakika wa kuapta hana
(hiyo training ni mafunzo ya namna ya kufanya interview usitishike ukahisi labda anataka kuwashika majobless )

laiti ungewajua hao ma customer care wa TAesa wanaopiga simu kuwaita watu training wala usingeandika huo utumbi ulio andika

search TAESA humu alafu ndo uje hapa useme anaipa promo au ni kweli hajui

punguza negativity mjomba
 
Ume tumia nguvu kubwa kumjibu unge mu ignore tu
 
🤔Promotion thread

Yaani mpaka hapo MB zishatumika.

Sio hivyo tu, umepigiwa simu Ati ya kufanya Training-Unashindwaje, ama ulishindwaje kuomba maeleza kamili, kama Anwani ya TAESA. namba ya jengo, mtaa n.k

Najiuliza, mpaka unaitwa Training, ina maana ushaomba kazi? usaili? na uwezekano wa uwepo wa mawasiliano kati yako na TAESA ulikuwepo/Upo. Yaani umeshapigiwa na simu kabisa walakini umeshindwa kuulizia walipo....

Karibu JF. Ila sio kwa hizi Promo.
Porojo nyingi si ungemwekeza tu
Ungemwelekeza ungeumwa malaria au?
 
🤔Promotion thread

Yaani mpaka hapo MB zishatumika.

Sio hivyo tu, umepigiwa simu Ati ya kufanya Training-Unashindwaje, ama ulishindwaje kuomba maeleza kamili, kama Anwani ya TAESA. namba ya jengo, mtaa n.k

Najiuliza, mpaka unaitwa Training, ina maana ushaomba kazi? usaili? na uwezekano wa uwepo wa mawasiliano kati yako na TAESA ulikuwepo/Upo. Yaani umeshapigiwa na simu kabisa walakini umeshindwa kuulizia walipo....

Karibu JF. Ila sio kwa hizi Promo.
Maneno meeeeeeengi
 
Back
Top Bottom