Naomba kujuzwa zilipo ofisi za Uber

Naomba kujuzwa zilipo ofisi za Uber

Insider Boy

Senior Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
189
Reaction score
309
Habari wakuu?

Naitaji kufika ofisi za uber, kwa anejua naomba muongozo... mimi nipo Dar maeneo ya bunju
 
Nenda barabara ya Nyerere (zamani barabara ya Pugu). Mkambala na kiwanda cha sigara, utaziona ofisi zao
 
Ukiwa bunju njoo na iyo barabaran ya moja kwa moja mpk bagamoyo road baadae Ali Hassan mwinyi mpk mjin posta lakini posta yenyewe hufiki NMB HQ pembeni Kuna jengo refuuuu VIVA Tower humo humo utawakuta chapu
 
Asante sana mkuu🙏
 
Back
Top Bottom