Chuck j
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 2,366
- 828
Kunamahali nafanya kz,wametangaza nafasi ya kz ya umeneja,mwanzo walikuwa wanapromot,(wanateua tuu wakitaka meneja kwa wafanyakazi waliopo,kigezo kikubwa unamuda mrefu kzn,. Lkn juzi wametangaza mwenye kujua anaweza aandike barua,. Nimekuwa mmoja wa wafanyakazi walioandika kuomba nafasi,2ko kama wanne hv,..ni maswali gani nitaulizwa? Na nijibuje? I think kesho ni siku ya intervew,kz za restaurant,